Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
TUNAPENDA KUITANGAZIA IMMA KUWA TUNAHITAJI MTU WA KUJITOLEA KATIKA NAFASI YA MRATIBU WA MIRADI ANAYEWEZA KUWASHAWISHI WAHISANI KUJITOA KATIKA KUENDELEZA ASASI YETU. AWE NA UWEZO KUANDIKA ANDIKO LA MIRADI NA TAALUMA YA KIFEDHA.
MALIPO YATATOKANA NA KAZI ILIYOFANIKIWA
MAWASILIANO:
0752184141
EMAIL: are.code@yahoo.com