@ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO): kwa maoni yangu vikwazo ni vingi ila kimoja wapo ni ushirikishwaji usio sahihi kwa wanawake na wanaume katika miradi ya maendeleo endapo miradi inayoanzishwa katika jamii itafanyika kwa kuwashirikisha kwa ukamirifu wanaume na wanawake basi miradi ya wanawake ingekuwa mikubwa na wanawake wangepata maendeleo.
Kuhusu mfumo dume kwa kiasi furani unachangia lakini sio asilimia kubwa maana kwa asasa kutokana na mabadiliko ya kiuchumi ,sayansi na technology,utamaduni mambo yamfumo dume yanapungua kwa kiasi fulani.