Log in
zanzibar youth association which deal with education & health (zayadehe)

zanzibar youth association which deal with education & health (zayadehe)

mtopepo, Tanzania

ZANZIBAR YOUTH ASSOCIATION WHICH DEAL WITH EDUCATION AND HEALTH

MALENGO MAHSUSI

  (1)        Kutoa ushauri na muongozo kwa jamii kuhusiana na mfumo wa maisha ya jamii  kupitia elimu ya demokrasia na sheria.

  (2)        Kufanya kazi nyengine zinazohusiana na elimu pamoja na afya kiujumla.

 MALENGO MAKUU

  (1)       kutoa elimu mjumuisho katika jamii.

  (2)       Kusaidia mayatima na watoto wanaoishi katika mazingira.

  (3)       Kutoa elimu namna ya kujikinga na tofauti.

  (4)       Kutoa elimu kwa jamii jinsi ya kujikinga na maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi.

  (5)       Kutoa elimu namna kudumisha na kutunza mazingira.