Log in
zanzibar youth association which deal with education & health (zayadehe)

zanzibar youth association which deal with education & health (zayadehe)

mtopepo, Tanzania

Partner Organizations
Latest Updates
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION
HADI KUFIKIA MWISHONI MWAKA 2012 CHUYODO IMEWEZA KUTUMA MRADI MMOJA KUPITIA THE FOUNDATIONN LAKINI KWA BAHATI MBAYA MRADI HUO ULIKUWA NA MAKOSA NA KUREJESHWA KWA WANAJUMUIA WENYEWE ILI WAWEZE KUUREKEBISHA KWA KUUTUMA TENA NA UKAFANYA HIVYO NA KUUTUMA TENA
January 28, 2013
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION
kwa kipindi chote hicho chuyodo ilikuwa na harakati za kuandika mradi kwa mara ya pili ikiwa ni miongoni mwa malengo yake kutokana na kutopata majibu ya mradi wa mwanzo ulioombwa na jumuia. – chuyodo imefanya tathmini ya muda mfupi kuhusiana na watuimiaji wa maktaba katika kipindi cha mwaka mmoja tangu... Read more
July 25, 2012
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION
Mwezi wa 12 chuyodo iliweza kupata mashelfu na mafunzo ya siku mbili kutoka kwa Book Aid International kupitia mradi uliobwa na mjukiza ,hata hivyo tumeweza kusambaza barua za wito kwa masheha ,wabunge na wawakilshi wa shehia ya chumbuni – kutokana pia na kujishuhulisha na maktaba tumeweza kupokea vitabu vya fani... Read more
March 19, 2012
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION
Chuyodo mara baada ya kusajiliwa ilifanya uchaguzi ambao ulichaguliwa na wanajumuiawenyewe ambapo ulichagu wafuatao; – (1) BIBI LAILA A. MANSOUR ( MWENYEKITI) – (2) RAMADHAN H. MWINSHEH (KATIBU) – (3) NAJMA A. HAJI (MSHIKA FEDHA) – (4)MUHAMED ... Read more
March 13, 2012
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION
tarehe 21/9/2011 chuyodo ili weza kufanya maamuzi ya kutafuta mwanasheriana mhasibu wa jumuia ambao walipatikana wote nawenye kiwango cha digirii, hata hivyo tumeweza kuchangishana kiasi cha pesa kwa ajili ya kuongeza vitabu vya jumuia,tulipata ugeni kutoka boook aid international ambao wapo canada kwa ajili ya... Read more
October 26, 2011
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION
Chuyodo mara baada ya kusajiliwa ilifanya uchaguzi ambao ulichaguliwa na wanajumuiawenyewe ambapo ulichagu wafuatao; – (1) BIBI LAILA A. MANSOUR ( MWENYEKITI) – (2) RAMADHAN H. MWINSHEH (KATIBU) – (3) NAJMA A. HAJI (MSHIKA FEDHA) – (4)MUHAMED ... Read more
September 19, 2011
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION
chuyodo ni jumuiya inayopatikana katika jimbo la chumbuni shehia ya karakana katika mkoa wa mjini magharibi wilaya ya mjini .chuyodo imeanzishwa mwka 2010 ikiwa na jumla ya watu wanne na kupata usajili ,katiba march 2011 ikiwa na jumla ya watu18. – chuyodo... Read more
September 19, 2011
CHUMBUNI YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION