Log in
Tumaini Women Group

Tumaini Women Group

Mwanza, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Lengo kuu la Tumaini ni kusaidia watoto yatima na wale walio katika mazingira magumu zaidi,na kuinua uchumi wa wajane waweze kujitegemea.

Latest Updates
Tumaini Women Group updated its Projects page.
Tumaini tunatoa misaada ya elimu kwa watoto yatima na walio katika mazingira magumu zaidi.walengwa wakiwa ;Primary na Secondary. – Tumaini tuna fundisha stadi za kazi;Ushonaji,Ufumaji,Ushonaji sweta kwa vijana walioshindwa kuendelea na elimu ya Secondary kwa matatizo mbalimbali yakiwemo ya kijamii na kiuchumi. – Kutetea... Read more
January 21, 2013
Tumaini Women Group updated its History page.
Kikundi kilianza mwaka 2004,kikiwa na wanachama kumi,kwa sasa idadi hiyo imeongezeka hadi kumi na tano.Kiundi kinafanya kazi katika kata kumi na moja zilizopo wilaya ya Ilemela, mkoa wa Mwanza.Makao makuu ya kikundi yapo kata ya Kitangiri, wilaya ya Ilemela.
January 21, 2013
Tumaini Women Group added a News update.
Tumaini women Group imepata ruzuku toka Foundation for civil society na mradi umeonyesha mafanikio makubwa kaa tayari kuona yaliyotendeka katika mradi huo wa kuwajengea uwezo akina mama wajane kujua haki zao za kumiliki mali.
March 13, 2012
Tumaini Women Group has a new discussion about Mtaa hauzai mtoto kila mmoja awajibike.
Tumaini Women Group: Ni kweli kabisa mimi na amini kwamba mtaa hauzai mtoto kwani mtoto anatoka katika familia fulani ambayo inabidi iwajibike kutunza uyu mtoto.
January 25, 2012
Tumaini Women Group has a new discussion about kutunza mtoto yatima ni swala la jamii nzima.
Faustina Makanshu: Kila mtu katika sehemu yake awe tayari kusaidia yatima mahitaji yake
June 12, 2011
Tumaini Women Group created a History page.
Kikundi kilianza mwaka 2004,kikiwa na wanachama kumi,kwa sasa idadi hiyo imeongezeka hadi kumi na tano.Kiundi kinafanya kazi katika kata kumi na moja zilizopo wilaya ya Ilemela, mkoa wa Mwanza.Makao makuu ya kikundi yapo kata ya Kitangiri, wilaya ya Ilemela.
May 20, 2011
Sectors
Location
Mwanza, Tanzania
See nearby organizations