Fungua
Tumaini Women Group

Tumaini Women Group

Mwanza, Tanzania

Lengo kuu la Tumaini ni kusaidia watoto yatima na wale walio katika mazingira magumu zaidi,na kuinua uchumi wa wajane waweze kujitegemea.

Mabadiliko Mapya
Tumaini Women Group imehariri ukurasa wa Miradi.
Tumaini tunatoa misaada ya elimu kwa watoto yatima na walio katika mazingira magumu zaidi.walengwa wakiwa ;Primary na Secondary. – Tumaini tuna fundisha stadi za kazi;Ushonaji,Ufumaji,Ushonaji sweta kwa vijana walioshindwa kuendelea na elimu ya Secondary kwa matatizo mbalimbali yakiwemo ya kijamii na kiuchumi. – Kutetea... Soma zaidi
21 Januari, 2013
Tumaini Women Group imehariri ukurasa wa Historia.
Kikundi kilianza mwaka 2004,kikiwa na wanachama kumi,kwa sasa idadi hiyo imeongezeka hadi kumi na tano.Kiundi kinafanya kazi katika kata kumi na moja zilizopo wilaya ya Ilemela, mkoa wa Mwanza.Makao makuu ya kikundi yapo kata ya Kitangiri, wilaya ya Ilemela.
21 Januari, 2013
Tumaini Women Group imeongeza Habari.
Tumaini women Group imepata ruzuku toka Foundation for civil society na mradi umeonyesha mafanikio makubwa kaa tayari kuona yaliyotendeka katika mradi huo wa kuwajengea uwezo akina mama wajane kujua haki zao za kumiliki mali.
13 Machi, 2012
Tumaini Women Group ina mada mpya kuhusu Mtaa hauzai mtoto kila mmoja awajibike.
Tumaini Women Group: Ni kweli kabisa mimi na amini kwamba mtaa hauzai mtoto kwani mtoto anatoka katika familia fulani ambayo inabidi iwajibike kutunza uyu mtoto.
25 Januari, 2012
Tumaini Women Group ina mada mpya kuhusu kutunza mtoto yatima ni swala la jamii nzima.
Faustina Makanshu: Kila mtu katika sehemu yake awe tayari kusaidia yatima mahitaji yake
12 Juni, 2011
Tumaini Women Group imeumba ukurasa wa Historia.
Kikundi kilianza mwaka 2004,kikiwa na wanachama kumi,kwa sasa idadi hiyo imeongezeka hadi kumi na tano.Kiundi kinafanya kazi katika kata kumi na moja zilizopo wilaya ya Ilemela, mkoa wa Mwanza.Makao makuu ya kikundi yapo kata ya Kitangiri, wilaya ya Ilemela.
20 Mei, 2011
Sekta
Sehemu