Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Mikakati mbalimbali inaendelea juu ya kumsaidia watoto waishio katika mazingira hatarishi

large.jpg

AFISA MAHUSIANO KCB BENK TAWI LA BUGURUNI ALIPOTEMBELEA OFISI CHANIKA TUAMKE YOUTH ORGANIZATION (CTYO) KATIKA MPANGO WAO WA KUTEMBELEA ASASI NA VIKUNDI MBALIMBALI VYA KIJAMII.

large.jpg

Karibuni Chanika tuamke youth organization (CTYO) Kujifunza masuala mbalimbali ya Afya ya uzazi kwa vijana

large.jpg

Jitihada bado zinahitajika katika kuhakikisha kuwa vijana wanapata elimu ya Afya ya Uzazi ili kuepukana na Changamoto mbalimbali zinazo wakabili Vijana.

large.jpg

Jitihada bado zinahitajika katika kuhakikisha kuwa vijana wanapata elimu ya Afya ya Uzazi ili kuepukana na Changamoto mbalimbali zinazo wakabili Vijana.

large.jpg

Tupendelee sana kukaa na vijana kwani vijana wanapambana na mengi kukaa na vijana itatu saidia kutambua matatizo yao pia kuzoea luguha zao za mtaani mfano.Kijana anakwambia korogeti inatoka maana yake kijana huyo nasumbuliwa na Gono na ile korogeti ni usaha.

large.jpg

NI JUKUMU WOTE Sote tuna jukumu la kuhakikisha haki ya Afya ya uzazi kwa vijana zinalindwa na sio kazi ya watoa huduma Afya tu.

large.jpg

NI JUKUMU WOTE Sote tuna jukumu la kuhakikisha haki ya Afya ya uzazi kwa vijana zinalindwa na sio kazi ya watoa huduma tu.

large.jpg

Mipango mkakatika ya Chanika Tuamke Youth Organization katika kuwaelimisaha vijana juu ya Afya ya uzazi kwa vijana

large.jpg

Tuna hitajika kufanya juudi kubwa katika kuwaelimisaha vijana kuhusiana na Afya ya uzazi