Internal ID | Asili | Kiswahili | Mfasiri | Muda ya Uumbaji |
---|
sms:help_c | C=post comment | C=chapisha mawazo yako | radhina | 26 Septemba, 2011 |
sms:help_next | NEXT=next page | IFUATAYO=ukurasa ufuatao | radhina | 26 Septemba, 2011 |
sms:help_more | MORE=more text | ZAIDI= | radhina | 26 Septemba, 2011 |
report:invitation_email_link | To complete the report, go to {url} , then follow the instructions. | Ili kukamilisha ripoti, nenda {url} , halafu fuata maelekezo. | radhina | 29 Agosti, 2011 |
report:invitation_email | This is a reminder for {name} to complete {report} for {org}. | Hii ni ukumbusho kwa {name} kuhusu kukamilisha {report} kwa {org}. | radhina | 29 Agosti, 2011 |
report:invitation_sms | Reminder from {org} to complete {report}: | Ukumbusho kutoka {org} kuhusu kukamilisha {report}: | radhina | 29 Agosti, 2011 |
report:offline_click_open | Click 'Open' in the installation window as shown below: | Bonyeza 'Open' ndani ya dirisha la kupakua kama inavyoonyesha hapo chini: | radhina | 29 Agosti, 2011 |
report:offline_need_upgrade | Your version of Envaya Reports is out of date. Click below to install the new version. | Toleo lako la Envaya Reports ni la zamani. Bonyeza hapo chini ili kupakua toleo jipya. | radhina | 29 Agosti, 2011 |
WI000983F94DAE8000028438:content | Envaya is translated into multiple languages, and you can use whichever language you feel most comfortable using. – To change Envaya's language, click on the language menu at the top of any page on Envaya, and select a language from the list. – (image) – You can also change Envaya's language by scrolling to the bottom of the page and clicking the name of a language at the bottom-left. – Translating Content From Other... | Envaya imetafsiriwa kwa lugha mbalimbali, na unaweza kutumia lugha yoyote unayotaka kuitumia. – Ili kubadili lugha ya Envaya, bonyeza menyu ya Lugha au Language juu ya ukurasa wowote wa Envaya, halafu chagua lugha kutoka kwenye orodha. – (image) – Vile vile, unaweza kubadili lugha ya Envaya kwa ku-scroll mpaka chini ya ukurasa, na kubonyeza jina ya lugha pale chini kushoto. – Kutafsiri maandiko Kutoka Lugha... | radhina | 25 Julai, 2011 |
network:instructions_2 | These organizations may include partners that fund, support, or work with you,
as well as networks of organizations where you are a member. | Mashirika haya yanaweza kuwa yale yanayokufadhili, yanayokusaidia, au yanayofanya kazi na wewe, vile vile mitandao ya mashirika yaliyo na shirika lako kama mwanachama | radhina | 9 Juni, 2011 |
network:instructions | On this page, you can list organizations that partner with %s and describe how you work with them. | Kwenye ukurasa huu unaweza kuorodhesha mashirka yaliyo na ubia na %s, na kueleza jinsi unavyo fanya kazi nao | radhina | 9 Juni, 2011 |
network:invite_org | Invite {email} to join Envaya? | Karibisha {email} kujiunga na Envaya? | radhina | 9 Juni, 2011 |
network:org_not_shown | Is the organization you want to add not shown above? | Je, shirika ambalo unataka kuliongeza halijaonekana hapo juu? | radhina | 9 Juni, 2011 |
network:confirm_partner | Confirm the organization to add as a partner: | Thibitisha shirika la kuongeza kama ubia | radhina | 9 Juni, 2011 |
network:confirm_delete | Are you sure you want to remove {name} from your list of {type}? | Una uhakika kuwa unataka kuondoa {name} kutoka kwenye orodha yako ya {type} ? | radhina | 9 Juni, 2011 |