Internal ID | Asili | Kiswahili | Mfasiri | Muda ya Uumbaji |
---|
WI00055D3FED335000062524:content | Envaya's SMS feature allows you to use Envaya from any mobile phone, almost anywhere in the world, even where there is no internet connection. Currently, you can do the following via SMS and MMS: – publish short news updates and photos to your organization's website
subscribe to news updates from any organization on Envaya
search for organizations on Envaya by name or geographic location
view contact information (name, location, phone number,... | Envaya sasa imejenga uwezo unaokuwezesha kutumia Envaya kutoka kwenye simu yoyote ya mkononi, nchini Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani, hata bila intaneti. – Sasa hivi, unaweza kufanya hatua zifuatazo kupitia SMS na MMS: – kuchapisha habari fupi na picha kwenye tovuti ya asasi yako
Kujiunga ili kupata... | radhina | 28 Septemba, 2011 |
WI0006FC1E87B98000000457:title | Key Personnel | Wahusika Wakuu | radhina | 28 Septemba, 2011 |
WI0007EFCCD45E0000028439:content | You can use Envaya on your mobile phone in two different ways: by sending text messages (SMS), or by using a mobile web browser. The sections below will explain how to use these two methods. | Unaweza kutumia Envaya kwenye simu yako kupitia njia mbili: kwa kupeleka ujumbe mfupi (SMS), au kwa kutumia kivinjari kwenye simu. Sehemu ifuatayo chini itaeleza jinsi ya kutumia njia hizi mbili. – Kutumia Envaya kupitia Ujumbe Mfupi (SMS) – Envaya sasa imejenga uwezo unaokuwezesha kutumia Envaya kutoka kwenye simu yoyote ya mkononi, nchini Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani, hata bila intaneti. Kwa sasa, uwezo huu unakuruhusu kuchapisha taarifa ya habari fupi... | radhina | 27 Septemba, 2011 |
WI000BD99B649AA000020110:title | Advanced Services | Huduma ziada | radhina | 27 Septemba, 2011 |
sms:no_add_comment_here | Sorry, you can't add a comment here. View a news update with 'N [user]' then try again. | Samahani, huwezi kuweki maoni hapa. angalia habari mpya na "N [user]' halafu jaribu tena | radhina | 26 Septemba, 2011 |
sms:document_placeholder | (doc) | (hati) | radhina | 26 Septemba, 2011 |
sms:image_placeholder | (img) | (picha) | radhina | 26 Septemba, 2011 |
(hidden) |
sms:logout_success | Successfully logged out. | Umeondoka kwenye akaunti yako | radhina | 26 Septemba, 2011 |
sms:item_deleted | Item deleted successfully. | kitu kimefutwa | radhina | 26 Septemba, 2011 |
sms:cant_delete_item | You do not have access to delete this item. | hauna mamlaka ya kufuta kitu hiki | radhina | 26 Septemba, 2011 |
sms:item_not_found | Item {id} was not found. | kitu {id} hakijapatikana | radhina | 26 Septemba, 2011 |
sms:item_not_found | Item {id} was not found. | kitu {id} hakijaonekana | radhina | 26 Septemba, 2011 |
sms:publish_last_help | To publish your last message ("{snippet}...") on your News page, reply with txt "P". | ili kuchaisha ujumbe wako wa mwisho ("{snippet}...") kwenye ukurasa wako wa habari, jibu na neno "P". au,tuma"msaada" kwaajili ya kuchukua hatua nyengine. | radhina | 26 Septemba, 2011 |
sms:publish_last_help | To publish your last message ("{snippet}...") on your News page, reply with txt "P". | ili kuchaisha ujumbe wako wa mwisho ("{snippet}...") kwenye ukurasa wako wa habari, jibu na neno "P". au,tuma"msaada" kwaajili ya kuchukua hatua nyengine | radhina | 26 Septemba, 2011 |