Injira

Ubusobanuro: Kiswahili (sw): User Content: WI00055D3FED335000062524:content

« Inyuma   ·   Ahakurikira »
Base (Icyongereza) Kiswahili

Envaya's SMS feature allows you to use Envaya from any mobile phone, almost anywhere in the world, even where there is no internet connection. Currently, you can do the following via SMS and MMS:

  • publish short news updates and photos to your organization's website 
  • subscribe to news updates from any organization on Envaya
  • search for organizations on Envaya by name or geographic location
  • view contact information (name, location, phone number, email, website) for any organization on Envaya
  • read news posted by any organization on Envaya
  • post comments on news updates from any organization on Envaya
  • read comments on news updates

Standard message and data rates may apply for sending text messages to Envaya.

To use Envaya via SMS, text the following commands to one of Envaya's SMS numbers: 

(Tanzania) 0763 077677 
(International) +1 484 544 4443

 

The sections below explain the commands that you can use on Envaya SMS.

P: Publish a News Update to Your Website

To publish a news update to your website, text: 

P [your message]

Example: "P This is my latest news."

If you are using Envaya's international (+1) phone number, your SMS must be shorter than 160 characters. When using other phone numbers (such as the Tanzania phone number), your message can be as long as you want.

If your message is published successfully, Envaya will send a reply like this:

Your news update has been published to "N exampleorg" 
and http://envaya.org/testorg/news If you want to undo, txt "DELETE 58934"

Anyone can see your published news either via SMS or on your organization's website. We encourage you to share your organization's website address and SMS command ("N [username]") with other people so they can see your news.

Note: The "P" command requires logging in to your Envaya account. See "IN" command.

U: Latest Updates

To see the latest updates from all organizations on Envaya, text:

U

The 'U' command returns a response that looks like this:

29Aug
N NYEDACO
I taswo
I Fihata
N TACOMO
28Aug
N yesvijana
N TEYODEN
N zop

Each line shows the username and the type of update (N is news, I is contact information), and is also a command that you can send for more information.

For example, send "N NYEDACO" to see the latest news from Nyengedi Environment Development and Diseases Control, or "I taswo" to see the contact information of Tanzania Support for Widows and Orphans.

Whenever you publish a news update (either via the SMS "P" command or via envaya.org), your organization will move to the top of the list when anyone sends the "U" command.

F: Find Organizations by Name

To search for organizations by name, text:

F [organization name]

Example: "F mwanza youth children network"
Example: "F environment" (any organization with 'environment' in their name)
Example: "F je" (organizations with names starting with 'je')

The 'F' command returns a response that looks like this:

[1/2]
jeanmedia
guluka
ileje
keca
wecocpemba
WEPMO
moeco
cadecttrust
EMNet
WEETU
mcaee
sehap-tanzania
BAENET
pemwa
Txt "I [user]" for details

Each line shows the username of an organization on Envaya that matched your search (in this case, 'F environment'). In this case, [1/2] means that there are too many matches to fit in a single SMS, and this is the first of two pages. If you want to see the second page of results, reply NEXT or 2.

In order to see the contact information any organization, reply with text "I [user]", for example "I jeanmedia". 

In order to see the latest news any organization, reply with text "N [user]", for example "N jeanmedia". 

FN: Search for Organizations Near Geographic Location

To search for organizations near a geographic location, text:

FN [location]

Example: "F pemba" 

The response for the FN command is the same as the F command.

I: View Contact Information for Organization

To view contact organization for any organization on Envaya, text:

I [user]

Example: "I jeanmedia"

The response to the "I" command shows the organization's name, city, website address, email address, and phone number (if it's public). For example:

Journalists Environment and (HIV)Aids Network
Dar-es-salaam TZ
http://envaya.org/jeanmedia
jean_media@yahoo.com
255658053107
Txt "N" for news

Note: if you don't know the username of the organization you're looking for, use the "F" command to find it.

S: Subscribe to Organization's News

Anyone can subscribe to any organization's news on Envaya. When you subscribe to an organization's news, Envaya will automatically send you a SMS notification whenever that organization publishes a news update on Envaya.

To subscribe to an organization, text:

S [user]

Example: "S jeanmedia"

When your subscription is processed, Envaya will send a confirmation message:

Subscribed to "N jeanmedia".
Txt "STOP 3" to unsubscribe.
Txt "SS" to show all subscriptions.

Later, whenever the user publishes a news update, Envaya will send you a text message like this:

jeanmedia published news.
Txt "N jeanmedia 6" or open http://envaya.org/jeanmedia/news.
To stop these notifications, txt "STOP 1"

SS: Show Subscriptions

To see all the organizations that your phone has subscribed to, text:

SS

As an example, the result of this command might look like this:

1:N jeanmedia
2:N cfp
4:N mycn
Txt STOP [id] to cancel any subscription

In this example, the first line means that you are subscribed to jeanmedia's news updates, and you can text "STOP 1" to unsubscribe.

STOP: Unsubscribe

If you want to unsubscribe from a notification, text:

STOP [id]

Example: "STOP 2"

If you want to unsubscribe from all notifications, text:

STOP ALL

N: View Latest News from Organization

To view the latest news posted by any organization on Envaya, text:

N [user]

Example: "N jeanmedia"

The response to the 'N' command shows the latest news update, along with the date and the number of comments.

[1/60]
2Jun
2cmt@"G[num]"
Wananchi watakiwa kutunza mazingira Na ASIA KILAMBWANDA, 
Mtwara Wananchi Mkoani Mtwara wametakiwa kutotupa taka
hovyo hususani katika maeneo ya pwani ya bahari ya bandari
ya Mtwara na badala yake watunze na kuhifadhi maeneo hayo
kwa kuwa ni sehemu ya vivutio vinavyoingi za
MORE

If the news update is too long, only the beginning will be shown. Text "MORE" to see more of it.

To see older news updates, text "NEXT" or the page number.

The phrase "2cmt" means that there are two comments on this news update. If there are no comments on a news update, it will say '0cmt:"C [msg]"' instead.

To view and add comments, use the "G" and "C" commands described below.

G: View Comment on News Update

When viewing a news update, The phrase '2 cmt@"G[num]"' means that there are two comments on this news update, and you can view any comment by texting:

G[num]

Example: G1 (show the first comment)
Example: G2 (show the second comment)

The reply will look like this:

Example Name
Dar es Salaam
26Aug Thanks so much!

Note: the "G" command is only available after you use the "N" command to view a news update.

C: Add Comment on News Update

To add a comment, text:

C [msg]

Example: C Good job!

Note: the "C" command is only available after you use the "N" command to view a news update. Also, you can add a comment to a news update even if "C [msg]" is not shown.

NAME: Set the name shown in your comments

Whenever you post a comment, your name is shown at the top of the message. To change how your name appears, text:

NAME [your name]

Example: NAME John Doe

LOC: Set the location shown in your comments

Whenever you post a comment, your location (e.g. city, country) is shown at the top of the message. To change how your location appears, text:

LOC [your location]

Example: LOC Dar es Salaam

L: Change Language of SMS System

To change the language of the SMS system, text:

L [lang]

for Swahili: "L sw"
for English: "L en"
for Kinyarwanda: "L rw"

IN: Log in to Envaya account

To log in to your Envaya account, text:

IN [your username] [your password]

Example: "IN exampleorg secretpassword"

Note: Most commands do not require logging in. However, you must log in to publish news with the "P" command. Once you log in once, your phone will stay logged in forever until you log out.

OUT: Log out of Envaya account

To log out of your Envaya account, text:

OUT

NEXT/MORE/#: Page Navigation

If the response message starts with [#/#], that means there is more than one page of items. The first number is the current page, and the second number is the total number of pages. To go to the next page, text NEXT (or X for short). To jump to any page, just text the page number.

For example, text "4" to see the 4th page of results.

If the response message ends with "MORE", that means that the response was too long to send in a single SMS. If you want to see more of the message, text MORE.

H: List available commands

To see the list of available commands, text:

H

HELP or MENU will also do the same thing.

The response to the help command will look like this:

Envaya SMS
NEXT=next page
1-2=goto page
P=publish news
F=find orgs
I=contact info
N=latest news
OUT=log out

Note: the list of available commands may change depending on your previous commands.

Envaya sasa imejenga uwezo unaokuwezesha kutumia Envaya kutoka kwenye simu yoyote ya mkononi, nchini Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani, hata bila intaneti.

Sasa hivi, unaweza kufanya hatua zifuatazo kupitia SMS na MMS:

  • kuchapisha habari fupi na picha kwenye tovuti ya asasi yako
  • Kujiunga ili kupata habari mpya kutoka kwenye shirika utakalo lichagua kwenye envaya.
  • Kutafuta mashirika kwenye envaya kwa jina au eneo
  • kupata data za mawasiliano( jina,eneo,namba za simu,barua pepe, na tovuti.
  • kusoma habari zilizochapishwa na mashirika yeyote kwenye Envaya
  • Kuweka maoni kwenye habari yeyote iliyochapishwa na shirika lolote kwenye envaya.
  • kusoma maoni kwenye habari yeyote mpya kwenye envaya/

Bei za kawaida hutumika kwaajili ya kupeleka ujumbe mfupi kwa Envaya. 

(Tanzania) 0763 077,677
(Nchi nyingine) + 1 484 544 4443

 

Sehemu za chini zinaeleza amri ambazo unaweza kuzitumia kwenye Envaya SMS.

P: Kuweka Habari Mpya Kwenye Tovuti Yako.

Ili kuweke habari mpya kwenye tovuti yako tuma herufi: 

P [ujumbe wako hapa]

Example: "P hii ni habari yangu mpya"

Kama untumia Envaya ya kimataifa  utatumia namba (+1) namba ya simu na ujumbe wako unatakiwa uwe na tarakimu 160. Ikiwa unatumia namba nyengine (kama namba ya Tanzania) ujumbe wako unaweza na urefu unaoutaka wewe.

Kama ujumbe wako umetumwa vizuri Envaya itakutumia jibu lifwatalo:

Habari yako imechapishwa kwenye "N exampleorg" na http://envaya.org/testorg/news. 
Ukitaka kufuta tuma "DELETE 58934"

Mtu yeyote anaweza kuona habari uliochapisha aidha kwenye simu au kupita tovuti yako kwenye mtandao. Tunawasihi kusambaza tovuti za mashirika yenu na pia amri za SMS ("N [jina la mtumiaji]" ) kwa watu wengine ili waweze kusoma habari zako.

Note: herufi P ni amri itakayo takiwa ifwatiwe na kuingia kwenye akaunti yako ya Envaya. soma zaidi  amri ya "IN".

U: Habari mpya

Ili kuona habari mpya kwenye mashirika yote kwenye envaya tuma herufi:

U

Amri ya 'U' itajibiwa na matokeo yafwatayo:

29Aug
N NYEDACO
I taswo
I Fihata
N TACOMO
28Aug
N yesvijana
N TEYODEN
N zop

Kila mstari unaonyesha jina la mtumiaji na aina ya habari mpya (N kwaajili ya habari mya, I kwaajili ya data za mawasiliano), na pia amri unayotakiwa kutuma ili upate habari ziada.

Kwamfano, tuma "N NYEDACO" Ili kupata habari mpya kutoka Nyengedi Environment Development and Diseases Control, au "I taswo" ili kuona data za mawasiliano za Tanzania Support for Widows and Orphanz.

Kila unapochapisha habari mpya (aidha kupitia kwenye SMS kwa kutumia amri "P" au kupitia envay.org) shirika lako litakuwa katika sehemu ya juu kwenye orodha ya mashirika pindi mtu atakapo tumia amri ys "u" ili kupata habari mpya.

F: Kutafuta mashirika kwa kutumia majina

Ili kutafuta mashirika kwa kutumia majina tuma:

F [Jina la shirika]

mfano: "F mwanza youth children network"
mfano: "F environment" (jina la shirika lolote lenye neno environment)
Example: "F je" (mashirika yenye majina yanaoanza na 'je')

amri "F je" italeta matokkeo yafwatayo

[1/2]
jeanmedia
guluka
ileje
keca
wecocpemba
WEPMO
moeco
cadecttrust
EMNet
WEETU
mcaee
sehap-tanzania
BAENET
pemwa
Txt "I [user]" for details

  Kila mstari utaonjesha majina ya mashirika kwenye Envaya yanayo fanana na kile ulichokuwa unakutafuta( kwa sasa  "F environment"). katika mfano huu [1/2] inamaanisha kwamba matikeo ni mengi sana kutosha kwenye ukurasa mmoja wa sms, na ukurasa utakao kuwa unauangalia ni wa kwanza katika matokeo yenye kurasa mbili. Ukitaka kuona matokeo mengine  ya kwenye kurasa ya pili, jibu neno  NEXT au 2.

Ili kuona taarifa za mawasiliano za mashirika yeyote jibu na herufi "I [mtumiaji]", kwa mfano "N jeanmedia". 

FN: Kutafuta mashirka kariba kwa kutoa taarifa za eneo

Ili kutafuta mashirika kwa kutumia taarifa za eneo, tuma:

FN [eneo]

mfano: "FN pemba" 

Matokeo ya amri ya FN ni sawa na yale ya amri ya F .

I: angalia taarifa  za mawasiliano za mashirika

Ili kuona taarifa za mawasiliano za mashirika ya shirila lolote kwenye envaya: tuma:

I [mtumiaji]

mfano: "I jeanmedia"

Matokeo yatakayo tokea kwenye amri "I" ni jina la shirka mkoa au mji,tovuti, anuani ya barua pepe na namba ya simu za(kama ni taarifa zilizo orodheshwa kuonekza hadharani). Kwa mafano 

Journalists Environment and (HIV)Aids Network
Dar-es-salaam TZ
http://envaya.org/jeanmedia
jean_media@yahoo.com
255658053107
N=habari
S=jisajili 

Note: Kama hujui jina la mtumiaji la shirika  unalolitafuta, tumia amri ya "F" kulitafuta.

S: Kujisajili ili kupata habari za Mashirika.

Mtu yeyote anaweze kujisajili ili kupata habari za shirika lolote atakalo lichagua kwenye Envaya. Utakapo jisajili kupata taarifa za shirika Envaya itakutumia taarifa moja kwa moja kwa ujumbe mfupi endapo shirika hilo litachapisha habari mpya kwenye Envaya.

Ili kujisajili kupota taarifa za shirika, tuma:

S [mtumiaji]

mfano: "S jeanmedia"

Utakapo jisajili Envaya itakutumia ujumbe mfupi kama ifwatavyo:

Jisajili kwenye "N jeanmedia".
Tuma "STOP 3" kusimamisha usajili.
Tuma "SS" Kuona taarifa zako za usajili.

baadae endapo mtumiaji huyu atakapochapisha habari yeyote, Envaya itkutumia ujumbe mfupi ufwatao:

jeanmedia imechapisha habari.
Tuma "N jeanmedia 6" au nenda http://envaya.org/jeanmedia/news.
ili kusimamisha usajili huu, tuma "STOP 1"

SS: Kuonyesha taarifa za usajili

Ili kuona mashirika yote ambayo umejisali kupata habari zao tuma:

SS

Kwa mfano matokeo yanaweza yakaonekana kama ifwatavyo:

1:N jeanmedia
2:N cfp
4:N mycn
Txt STOP [id] to cancel any subscription

Katika mfano huu. Mstari wa kwanza unaonyesha kwamba umejiunga kupta habari za Jeanmedia, na unaweza kutuma neno "STOP 1" Ili kuondoa usajili.

STOP: kusimamisha usajili

kama unataka kusimamisha usajili ili usipate tena habari, tuma:

STOP [id]

mfano: "STOP 2"

kama unataka kusimamsha usajili wa kupata taarifa za mashirika yote, tuma:

STOP ALL

N: Kuona Habari Mpya Kutoka Mashirika mbali mbali

Ili kuona habari mpya zilizochapishwa na shirika lolote kwenye Envaya, tuma:

N [mtumiaji]

mfano: "N jeanmedia"

Matokeo yatakayotokea ya amri 'N' yataonyesha habari mpya na tarehe ya kuandikwa kwa habari hiyo a pia idadi ya maoni.

[1/60]
2Jun
2cmt@"G[num]"
Wananchi watakiwa kutunza mazingira Na ASIA KILAMBWANDA, 
Mtwara Wananchi Mkoani Mtwara wametakiwa kutotupa taka
hovyo hususani katika maeneo ya pwani ya bahari ya bandari
ya Mtwara na badala yake watunze na kuhifadhi maeneo hayo
kwa kuwa ni sehemu ya vivutio vinavyoingi za
MORE

Kama habari hizo ni ndefu sana, itaanza kuonekana mwanzo t wa habari hiyo. Tuma neno "MORE " ili kuendelea kusoma taarifa hizo.

Ili kuona habari zilizo pita, tuma "NEXT" au namba ya kurasa hizo.

maneno "2cmt" linamaanisha kwamba kuna maoni mawili kwenye habari unayo iangalia. Kama hamna maoni yeyote kwenye habari hiyo itasema "0cmt" C[msg] badalayake

Ili kuona maoni, tumia amri ya "G" na "C"  tutakayo ielezea hapo chini.

G: Kuona maoni yaliyowekwa kwenye habari

Wakati unaangalia habari mpya, maneno "2 cmt@G[num]" yanamaanisha kwamba kuna maoni mawili kwenye habari unayoiangalia na unaweza kuangalia maoni yeyote kwa kutuma

G[num]

mfano: G1 (show the first comment)
mfano: G2 (show the second comment)

Majibu yatarudi kama ifwatavyo:

jina la mafano
Dar es Salaam
26Aug Ahsante sana!

Note: amri "G" inatumika pale utakapo tumia amri "N" ya kuangalia habari mpya tu.

C: Kuweka maoni kwenye habari mpya

Ili kuweka maoni, tuma:

C [ujumbe]

mfano: C kazi nzuri!

Note: amri "C"  inatumika pale utakapo tumia amri "N" kuangalia habari mpaya tu. Pia unaweza kuongezea maona hata kama ujumbe wa C[msg] haionekani.

Jina: Kuweka jina kwenye Maoni yatakayo tumwa.

Utakapo kuwa unaweka maoni yako, Jina lako litaonekani juu katika ujumbe wako, ili kubadili jinalako linavyoonekano, tuma:

NAME [jina lako]

mfani: NAME John Doe

LOC: kuweka taarifa za maahala ulipo

Utakapo weka maoni yako, mahala ulipo(mfano. mkoa, mji) itaonekana kwenye ujumbe wako kwa chini, ilikubadili taarifa za mahala ulipo, tuma:

LOC [mahala ulipo]

mfano: LOC Dar es Salaam

L: kubaadili lugha kwenye mfumo huu was ujumbe mfupi

Ili kubadili lugha kwenye mfumo huu wa ujumbe mfupi, tuma:

L [lang]

kwa kiswahili: "L sw"
kwa English: "L en"
kwa Kinyarwanda: "L rw"

IN: Kufungua akaunti yako ya envaya

To log in to your Envaya account, text:

IN [jina la mtumiaji] [neno la siri]

Mfano: "IN shirikalamfano  nenolakolasiri"

Note: Amri nyingi kwenye Envaya hazihitaji uingie kwenye akaunti yako, lakini unahitaji kuingia ili kuchapisha habari na amri ya P. utakapoingia kwenye akaunti yako utaendelea kuwa kwenye akaunti yako mpaka pale utakapo ondoka

OUT: Kuondoka kwenye akaunti yako ya Envaya

Ili kuondoka kwenye akaunti yako ya Envaya, tuma:

OUT

NEXT/MORE/#: Kuperuzi kurasa

 Kama majibu yanarudi alafu yanaanza na[#/#], hii inamaanisha kwamba kuna kurasa nyengine zaidi ya hiyo unayoiangalia. Namba ya kwanza ndio namba ya ukurasa uaouangalia na namba ya pili ndio idadi ya kurasa zote. Ili kuenda kwenye ukurasa ufwatao,tuma neno, "NEXT" (au X kwa kifupi). Ili kuruka ukurasa tuma nambari ya ukurasa huo.

kwa mfano, tuma "4" ilikuona matokea ya ukurasa wa 4.

Kama matokea ya ujumbe yanaanza na"MORE" hii inamaanisha kwamba matokeo ni marefu sana kutosha kwenye ukurasa mmoja wa ujumbe mfupi> ili kuona kurasa nyengine zaidi, tuma MORE

H: Orodha Ya amri zilizopo

Ili kuona Orodha ya amri zilizopo, tuma:

H

HELP au MENU pia italeta matokeo hayo hayo.

Matokeo yatakayo tokea baada ya amri ya masaada yataonekana kama ifwatavyo:

Envaya SMS
NEXT=next page
1-2=goto page
P=publish news
F=find orgs
I=contact info
N=latest news
OUT=log out

Note: Orodha iliyopo inaweza kubadilika kutokana na amri zilizopita.


Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe

Ibyasobanuwe

youngj
29 Nzeli, 2011
Envaya sasa imejenga uwezo unaokuwezesha kutumia Envaya kutoka kwenye simu yoyote ya mkononi, nchini Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani, hata bila intaneti. – Sasa hivi, unaweza kufanya hatua zifuatazo kupitia SMS na MMS: – kuchapisha habari fupi na picha kwenye tovuti ya asasi yako Kujiunga ili kupata...
youngj
29 Nzeli, 2011
Envaya sasa imejenga uwezo unaokuwezesha kutumia Envaya kutoka kwenye simu yoyote ya mkononi, nchini Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani, hata bila intaneti. – Sasa hivi, unaweza kufanya hatua zifuatazo kupitia SMS na MMS: – kuchapisha habari fupi na picha kwenye tovuti ya asasi yako Kujiunga ili kupata...
radhina
29 Nzeli, 2011
Envaya sasa imejenga uwezo unaokuwezesha kutumia Envaya kutoka kwenye simu yoyote ya mkononi, nchini Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani, hata bila intaneti. – Sasa hivi, unaweza kufanya hatua zifuatazo kupitia SMS na MMS: – kuchapisha habari fupi na picha kwenye tovuti ya asasi yako Kujiunga ili kupata...
radhina
28 Nzeli, 2011
Envaya sasa imejenga uwezo unaokuwezesha kutumia Envaya kutoka kwenye simu yoyote ya mkononi, nchini Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani, hata bila intaneti. – Sasa hivi, unaweza kufanya hatua zifuatazo kupitia SMS na MMS: – kuchapisha habari fupi na picha kwenye tovuti ya asasi yako Kujiunga ili kupata...
radhina
28 Nzeli, 2011
Envaya sasa imejenga uwezo unaokuwezesha kutumia Envaya kutoka kwenye simu yoyote ya mkononi, nchini Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani, hata bila intaneti. – Sasa hivi, unaweza kufanya hatua zifuatazo kupitia SMS na MMS: – kuchapisha habari fupi na picha kwenye tovuti ya asasi yako Kujiunga ili kupata...
radhina
28 Nzeli, 2011
Envaya sasa imejenga uwezo unaokuwezesha kutumia Envaya kutoka kwenye simu yoyote ya mkononi, nchini Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani, hata bila intaneti. – Sasa hivi, unaweza kufanya hatua zifuatazo kupitia SMS na MMS: – kuchapisha habari fupi na picha kwenye tovuti ya asasi yako Kujiunga ili kupata...
youngj
28 Nzeli, 2011
Envaya sasa imejenga uwezo unaokuwezesha kutumia Envaya kutoka kwenye simu yoyote ya mkononi, nchini Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani, hata bila intaneti. – Sasa hivi, unaweza kufanya hatua zifuatazo kupitia SMS na MMS: – kuchapisha habari fupi na picha kwenye tovuti ya asasi yako subscribe to news...
Ubu busobanuro bwakuwe mu nyandiko ya kera
youngj
28 Nzeli, 2011
Envaya sasa imejenga uwezo unaokuwezesha kutumia Envaya kutoka kwenye simu yoyote ya mkononi, nchini Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani, hata bila intaneti. – Sasa hivi, unaweza kufanya hatua zifuatazo kupitia SMS na MMS: – kuchapisha habari fupi na picha kwenye tovuti ya asasi...
Ubu busobanuro bwakuwe mu nyandiko ya kera
Google Translate
28 Nzeli, 2011
Envaya wa SMS kipengele utapata kutumia Envaya kutoka kwa simu yoyote ya muziki, karibu popote duniani, hata pale ambapo hakuna internet connection. Hivi sasa, unaweza kufanya yafuatayo kupitia SMS na MMS: – updates kuchapisha habari short na photos na tovuti ya asasi yako kujiunga na updates habari kutoka shirika lolote juu ya Envaya search kwa ajili ya mashirika ya Envaya kwa jina au eneo la kijiografia view kuwasiliana na habari...
Ubu busobanuro bwakuwe mu nyandiko ya kera