Log in
kijogoo group for community development

kijogoo group for community development

morogoro, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Partner Organizations
Foundation for Civil Society

Foundation for Civil Society

The Foundation for Civil Society ni Mfadhili mkubwa wa Kijogoo Group for Community Development, Katika kipindi cha miaka 7 tumekuwa tukitekeleza miradi ya Utawala Bora kwa Ufadhili wake na pia imekua ikitujengea uwezo wa kiutendaji sisi Viongozi wa shirika la Kijogoo ili kufanya kazi kwa ufanisi na tija.

Tunaipongeza sana na tunaishukuru sana

Social Mainstreaming for Gender Equality Organization

Social Mainstreaming for Gender Equality Organization

Ama kwa hakika SMGEO tunamahusiano ya kubadilishana uzoefu katika maswala ya uandishi wa miradi na kuepeana taarifa za wafadhili mbalimbali walioko ndani na nje ya nchi

Wataalam Group Gairo

Wataalam Group Gairo.

Karibuni katika ulimwengu wa kidigatali, yaonekana mko nyuma sana hivyo nawaomba na kuwashauri hivi sasa mjiunge na Envaya

Latest Updates
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization: Sexual Harassment in Tanzania, Sexual Harassment and the Law in Tanzania, Sexual Harassment and Complaints, Sexual Harassment and Discrimination on Mywage Tanzania. ... Read more
June 1, 2016
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization: – WATU wengi ambao huingia kwenye uhusiano wa kimapenzi, kwa kawaida uhusiano wao wa manzo huwa unatawaliwa na uongo mwingi pamoja na ahadi hewa. ... Read more
June 1, 2016
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization
Ijue Sheria-Sababu za kumuondoa msimamizi wa mirathi – LEO tutaangalia wajibu wa wasimamizi wa mirathi. Nitazungumzia juu ya usimamizi wa... Read more
June 1, 2016
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization
SMEGO is looking for volunteers from different parts around the world . We need to copperate with people with different qualification with diferrent level of education so that we can help the society to create awareness in Gender issues and Development as well for better achievements of people in rural and urbani areas. – SMGEO is... Read more
May 5, 2016
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization
SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA !! – Funguka, chukua hatua, mlinde mtoto apate elimu – Mtu binafsi, walimu, wanafunzi, wazazi na jamii kwa ujumla wanaaaswa kuwalinda watoto dhidi ya ukatili wa kijinsia na kuhakikisha kwamba shule ni mahala... Read more
November 26, 2015