Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kusaidia watoto wa mitaani wapate malezi ya kifamilia/katika familia, elimu na stadi za maisha.

Kutoa elimu za jamii ipate uelewa na ifahamu wajibu wa kulea watoto yatima katika familia zao, na kuto wapeleka katika vituo.

Pia kuzuia watoto yatima kupelekwa kwa walezi/wazee wasio na uwezo.

Kuhimiza misaada ya serikali na jamii iwafikie yatima katika familia wanazo lelewa.

Latest Updates
HELP STREET CHILDREN AND ORPHANS TRUST OF TANZANIA (HESCOTT) added a News update.
SAIDIA TANZANIA ISIWE TAIFA TEGEMEZI SAIDIA HESCOTT KATIKA KAZI YA KUELIMISHA JAMII ITAMBUE WAJIBU WA KUSAIDIA WATOTO WA MITAANI
November 21, 2011
HELP STREET CHILDREN AND ORPHANS TRUST OF TANZANIA (HESCOTT) added 2 News updates.
VIONGOZI SERIKALI NA JAMII HAWAKO TAYARI KUCHANGIA GHARAMA ZA UTENDAJI WA HESCOTT KUTATUA TATIZO LA ONGEZEKO LA WATOTO WA MITAANI
November 16, 2011
HELP STREET CHILDREN AND ORPHANS TRUST OF TANZANIA (HESCOTT) added 2 News updates.
HESCOTT INAELIMISHA JAMII KUTAMBUA WAJIBU WA KULEA YATIMA KATIKA FAMILIA
November 1, 2011
HELP STREET CHILDREN AND ORPHANS TRUST OF TANZANIA (HESCOTT) added a News update.
NIMEJIUNGA NA ENVAYA
October 21, 2011
HELP STREET CHILDREN AND ORPHANS TRUST OF TANZANIA (HESCOTT) joined Envaya.
October 21, 2011
Sectors
Other (watoto yatima)
Location
magomeni, Dar es Salaam, Tanzania
See nearby organizations