Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
VIONGOZI SERIKALI NA JAMII HAWAKO TAYARI KUCHANGIA GHARAMA ZA UTENDAJI WA HESCOTT KUTATUA TATIZO LA ONGEZEKO LA WATOTO WA MITAANI
Ibitekerezo (0)
ONGEZEKO LA WATOTO WA MITAANI KATIKA TANZANIA NI JANGA LA KITAIFA LAKINI VIONGOZI WA SERIKALI NA JAMII WANATUMIA MAMILIONI YA FEDHA KATIKA UTENDAJI UNAOHUSISHA BURUDANI
HESCOTT INAELIMISHA JAMII KUTAMBUA WAJIBU WA KULEA YATIMA KATIKA FAMILIA
ASILIMIA TISINI NA TANO YA WATANZANIA HAWANA UELEWA WA KULEA WATOTO YATIMA WALIOACHWA NA NDUGU ZAO HALI HIYO IMESABABISHA ONGEZEKO KUBWA LA WATOTO WA MITAANI
NIMEJIUNGA NA ENVAYA