Log in
ELDERS FOR THE PREVENTION OF AIDS-UKIMWI

ELDERS FOR THE PREVENTION OF AIDS-UKIMWI

Masasi, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Asasi ya EPA imeanzisha mchakato wa kuwapitia wale wote waliowahi kupata misaada ya kuwakimu ili kuona hali zao kwa sasa. hii itasaidia kubaini ni wangapi ambao bado wanahitaji misaada na ni wangapi waliweza kuitumia misaada hiyo kama chachu ya kujitegemea wenyewe. katika Mchakato huo EPA inaomba wale wote waliopokea misaada huko nyuma kujitokeza ili waweze kufahamika.