Fungua
ELDERS FOR THE PREVENTION OF AIDS-UKIMWI

ELDERS FOR THE PREVENTION OF AIDS-UKIMWI

Masasi, Tanzania

Kuisaidia jamii hasa wazee kupambana na Ukimwi na athari zake zinazoleta makali ya maisha kwa kutumia raslimali zilizopo katika jamii.

Mabadiliko Mapya
ELDERS FOR THE PREVENTION OF AIDS-UKIMWI imeongeza Habari.
Baada ya kuwa kwa muda mrefu shughuli za asasi zilisimama, – sasa asasi imeanza tena shughuli zake. Wanachama wamekutana – na kuazimia mambo kadhaa ya kuingia kwenye mpango wa mwaka – 2016.
9 Mei, 2016
ELDERS FOR THE PREVENTION OF AIDS-UKIMWI imeongeza Habari.
Pamoja na kuwa kasi ya maambukizi ya ukimwi kuonekana kupungua lakini bado tatizo hili lipo ndani ya jamii.Ndiyo maana Epa-ukimwi imeanzisha jukwaa la wadau kupaza sauti na kuikumbusha jamii kuwa makini.Humo wanajamii wanaalikwa kushiriki katika kukemea matendo machafu na yanayohatarisha afya hasa kwa vijana.Siku za wanajukwaa kukutana ni Jumanne... Soma zaidi
3 Juni, 2015
ELDERS FOR THE PREVENTION OF AIDS-UKIMWI imeongeza Habari.
Habari.Epa-ukimwi inawakaribisha wadau wapya katika Envaya kuwa na mawasiliano ya kupeana ushauri mawazo na usaidizi na asasi yetu.
14 Machi, 2015
ELDERS FOR THE PREVENTION OF AIDS-UKIMWI imeongeza Habari.
Habari.Heri ya mwaka mpya wa 2015. Mwaka huu asasi yetu imekusudia kuendelea na mipango ya mwaka uliopita.Mipango na mikakati hii imelenga kuona kuwa jamii lengwa inapatiwa huduma stahiki.Hivyo ni wito wetu kwa wadau na wanaharakati wenzetu kutuunga mkono.Karibuni sana.
10 Februari, 2015
ELDERS FOR THE PREVENTION OF AIDS-UKIMWI imeongeza Habari.
Asasi ya EPA-Ukimwi inakusudia kuanzisha vipindi vya utoaji elimu juu ya kutoa huduma kwa watu walioathirika na virusi vya ukimwi waweze kujizalishia mali kwa kutumia raslimali zinazopatikana ndani ya maeneo yao. Mafunzo haya yatakayohusisha washiriki 30 wa kata za Namajani na Mbonde-mtapika yataendeshwa na wawezeshaji... Soma zaidi
31 Oktoba, 2014
ELDERS FOR THE PREVENTION OF AIDS-UKIMWI imehariri ukurasa wa Timu.
Chairperson Capt(rtd) Albano Amlima – Secretary Mr.Noel Mwembere – Treasurer Mr Musa Saidi – Coordinators Ms Daram Ngunda – Mrs Mildred Mwembere – Mr. Lichonjo Francis ...
9 Septemba, 2014
Sekta
Sehemu
Masasi, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu