What is your neighborhood's most important need right now?
Madaraja,Makazi,Vyakula,Nguo,Barabara,Fedha za kujikimu,Maji safi,Umeme,Kujengewa Miundo mbinu kama zile zilizoharibiwa na mafuriko
Makazi,vifaa vya ndani,vivuko kama madaraja,Miundo mbinu imeharibika sana kama barabara umeme n.k
Visima vya maji safi, na ujenzi wa makazi mapya
New infrastructure, Social services, Shelter, School equipments and clothes
Reconstruction of destroyed infrastructure like roads, water and sewage pipelines.
miundo mbinu mipya ya barabara
barabara na madaraja
miundo mbinu mipya,huduma za kijamii,malazi na mavazi
mahali pa kuhamia na huduma zote za kijamii
viwanja vipya,nguo na samani.
vifaa vya shule na nguo
miundo mbinu.
« Back to report