Log in
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT

Tandahimba Sokoine, Tanzania

Miradi ambayo OLAI inafanya, ni kuiwezesha jamii ya wakulima wadogo na wa kati, wajumbe wa mabaraza ya Ardhi ya vijiji na kata kuhusu Sheria Na. 5 ya Ardhi ya vijiji ya mwaka 1999 na januni zake za mwaka 2002. Pia kuwasaidia watoto waishio katika mazira magumu. Mradi kuhusu sheria Na. 5 ya Ardhi, ulifadhiliwa na The Foundation for Civil Society.