Log in
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT

Tandahimba Sokoine, Tanzania

OLAI ni Asasi ya kiria iliyoanzishwa mwaka 2010 katika kijiji cha Sokoine, Kata ya Chaume, Wilaya ya Tandahimba, Mkoa wa Mtwara - Tanzania. HADHI YA KISHERIA: Olai imepata usajili wake katika ngazi ya Taifa mnamo tarehe 31-03-2011 jatika wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia na watoto chini ya Sheria Na. 24 ya usajili wa kisheria xa mwaka 2002 na kutunukiwa cheti cha usajili Na. ooooNGO/004476. Ni Asasi ya kiraia isiyolenga faida inayoundwa na wanachama ambao ni waalimu, wakulima na wajasiliamali. Inahudumia wananchi hasa wa vijijini na kufanya utetezi wa maslahi ya jamii ya Tandahimba na Tanzania bara kwa ujumla.