Injira
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT

Tandahimba Sokoine, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

large.jpg

Aliyesimama na kipaza sauti ni Ndg. Hassan Luheko Mnaute, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa uhamasishaji kuhusu Sheria Na. 5 ya Ardhi ya vijiji ya mwaka 1999 kwa wananchi wa kijiji cha Likolombe kilichopo Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba mkoa wa Mtwara - Tanzania, wakati wa utekelezaji wa mradi uliofadhiliwa na The Foundation for Civil Society (FCS).

30 Gicurasi, 2017
« Inyuma Ahakurikira »

Ibitekerezo (4)

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT (Kijiji cha Sokoine, kata ya Chaume, wilaya ya Tandahimba - Mtwara, Tanzania. ) bavuzeko
Ninaziomba Asasi za kiraia nchini, hasa wafanyakazi wa Asasi, kutolea taarifa shughuli tuzifanyazo kwenye maeneo yanayohusika. Tusipofanya hivyo, haitajulikana Asasi zetu zinafanya nini machoni mwa jamii.
30 Gicurasi, 2017
Hassan Luheko Mnaute (Kijiji cha Chaume, kata ya Chaume, wilaya ya Tandahimba - Mtwara, Tanzania. ) bavuzeko
Utoaji wa taarifa ni muhimu kwa kila jambo lifanywalo, shughuli au jambo hilo lipate nafasi kwa watu wengine walifahamu,
30 Gicurasi, 2017
Hassan Luheko Mnaute (Kijiji cha Chaume, kata ya Chaume, wilaya ya Tandahimba - Mtwara, Tanzania. ) bavuzeko
Namba yangu ya simu: 0788 715 532 / 0654 269 456 Email: olaitandahimba8@gmail.com Box 62 Tandahimba.
30 Gicurasi, 2017
Hassan Luheko Mnaute (Kijiji cha Chaume, kata ya Chaume, wilaya ya Tandahimba - Mtwara, Tanzania. ) bavuzeko
Je, wewe mwana Azaki mwenzangu upo tayari kuwasiliana kwa ukaribu ili kusaidiana na kubadilishana uzoefu? Tukumbuke ni jambo muhimu sana hili.
30 Gicurasi, 2017

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.