Log in
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT

Tandahimba Sokoine, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Aliyesimama na kipaza sauti ni Ndg. Hassan Luheko Mnaute, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa uhamasishaji kuhusu Sheria Na. 5 ya Ardhi ya vijiji ya mwaka 1999 kwa wananchi wa kijiji cha Likolombe kilichopo Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba mkoa wa Mtwara - Tanzania, wakati wa utekelezaji wa mradi uliofadhiliwa na The Foundation for Civil Society (FCS).

May 30, 2017
« Previous Next »

Comments (4)

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT (Kijiji cha Sokoine, kata ya Chaume, wilaya ya Tandahimba - Mtwara, Tanzania. ) said:
Ninaziomba Asasi za kiraia nchini, hasa wafanyakazi wa Asasi, kutolea taarifa shughuli tuzifanyazo kwenye maeneo yanayohusika. Tusipofanya hivyo, haitajulikana Asasi zetu zinafanya nini machoni mwa jamii.
May 30, 2017
Hassan Luheko Mnaute (Kijiji cha Chaume, kata ya Chaume, wilaya ya Tandahimba - Mtwara, Tanzania. ) said:
Utoaji wa taarifa ni muhimu kwa kila jambo lifanywalo, shughuli au jambo hilo lipate nafasi kwa watu wengine walifahamu,
May 30, 2017
Hassan Luheko Mnaute (Kijiji cha Chaume, kata ya Chaume, wilaya ya Tandahimba - Mtwara, Tanzania. ) said:
Namba yangu ya simu: 0788 715 532 / 0654 269 456 Email: olaitandahimba8@gmail.com Box 62 Tandahimba.
May 30, 2017
Hassan Luheko Mnaute (Kijiji cha Chaume, kata ya Chaume, wilaya ya Tandahimba - Mtwara, Tanzania. ) said:
Je, wewe mwana Azaki mwenzangu upo tayari kuwasiliana kwa ukaribu ili kusaidiana na kubadilishana uzoefu? Tukumbuke ni jambo muhimu sana hili.
May 30, 2017

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.