Log in
Farming Partnerships Initiatives

Farming Partnerships Initiatives

Karagwe, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. View in English · Edit translations

Lengo la shirika letu ni kutoa mafunzo ya kilimo endevu na elimu juu ya maendeleo vijijini kwa wakulima waishio vijijini, kutoa mikopo midogomidogo kwa wakulima ili waweze kumudu shughuli zao za kilimo, kutoa vifaa kazi na kuunda vikundi vya wakulima ili waweze kuwa na sauti pamoja na kupata masoko ya bidhaa za kwa urahisi pamoja na kuhamasisha utalii wa kilimo.

Latest Updates
Farming Partnerships Initiatives added a News update.
August 22, 2011
Farming Partnerships Initiatives created a History page.
Shirika la Farming Partnerships Initiatives lilianzishwa mwaka 2008, baada ya Rev.Heavenlight MLuoga kupata ushauri wa kufanya hivyo kutoka kwa wakulima wa kijiji cha Katwe, baada ya hapo Mchungaji Luoga alifanya mawasiliano na shirika la Operation Agri (OA) la nchini Uingereze,Mwezi wa nne 2009 wakulima watatu... Read more
August 22, 2011
Farming Partnerships Initiatives joined Envaya.
August 22, 2011
Sectors
Location
Karagwe, Kagera, Tanzania
See nearby organizations