Parts of this page are in Swahili. Edit translations
MAHITAJI YA KIPAUMBELE KWA MVC NI CHAKULA KWA SABABU KATI YA MVC 2544 WALIOPO WILAYANI SIKONGE MVC 2028 WANAUHITAJI WA CHAKULA NA HII INATOKANA NA KWAMBA WAZAZI NI WAZEE SANA PIA HAWANA UWEZO WA KUNUNUA CHAKULA,PIA SUALA LA SCHOOL MATERIALS
Comments (0)
mtoto wa nje ya ndoa
kufiwa na mzazi
kukosa matibabu
kikongwe
mzee sana
malazi duni mzazi kutowajibika