YAD inaendesha mradi wa SAM katika kata ya Mburahati, Manispaa ya Kinondoni mkoa wa Dar es Salaam. Picha hizi zinaonesha viongozi wa serikali za mitaa, wawakilishi wa wazee, akinamama na vijana pamoja na wenyeviti wa kamati za shule ambazo zipo ktk kata hiyo. Ni watu zaidi ya thelathini ambao wemewezeshwa mafunzo haya ya siku 3. Pia mafunzo haya yamedhaminiwa na The Foundation for civil societies.
Comments (1)