Viongozi wa YAD waliohudhuria workshop ya siku 3 iliyokuwa inahusu SAM (social accountability and monitoring) ambayo imefanyika ktk kata ya Mburahati kwa viongozi wa serikali za mitaa, wenyeviti wa kamati za shule za msingi na wawakilishi kutoka katika makundi ya wastaafu, akinamama, wazee na vijana. Mafunzo hayo yalidhaminiwa na The Foundation for Civil Societies
Comments (1)