Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Leo ni siku ya watoto duniani. Siku hii iliadhimishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1954 na umoja wa mataifa. Kwa hapa Moshi asasi inayoitwa Childreach internation imeadhimisha siku hii na kuwaalika washiriki na marafiki wa watoto kwa ajili ya kuamasisha jamii umuhimu wa siku hii pamoja na kudai na kutetea na kulinda haki za watoto.
November 20, 2012