Envaya

 

Umoja wa Wazee na Maendeleo Tanzania ni asasi ya kiraia iliyosajiliwa na serikali ya Tanzania kwa usajili wa namba S.A.18539  kutoka wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi tarehe 11/02/2013.Kufanya kazi ya kulinda,kuhifadhi na kutetea haki na maslahi ya wazee Tanzania kupitia kaulimbiu yetu ya  :Dar-es-salaam  tumeanza tuungeni mkono tusonge mbele kulinda na kutetea haki za wazee Tanzania.

 

Amakuru agezweho
UMOJA WA WAZEE NA MAENDELEO TANZANIA yashyizeho Amakuru agezweho.
TANZANIA ELDERS ASSOCIATION – INTRODUCTIONThe Tanzania Elders Association established on 1st January 2012 with... Soma ibindi
14 Kamena, 2015
UMOJA WA WAZEE NA MAENDELEO TANZANIA yongeyeho 3 Amakuru agezweho.
TANZANIA ELDERS ASSOCIATIOSHORT TERM AND LONG TERM PLANS SINCE JANUARY 201301-SHORT TERM PLANS – To... Soma ibindi
4 Mata, 2015
UMOJA WA WAZEE NA MAENDELEO TANZANIA yongeyeho 2 Amakuru agezweho.
TANZANIA ELDERS ASSOCIATION – INTRODUCTIONThe Tanzania Elders Association estblished on 1st January 2012 with... Soma ibindi
3 Mata, 2015
UMOJA WA WAZEE NA MAENDELEO TANZANIA hari ibyo yahinduye kuri Korera ubushake paje.
Wazee wana uhitaji mkubwa wakusaidika hivyo tunatoa rai kwa watu mbalimbali wenye mapenzi mema na wazee wajitolee kushirikiana nasi katika kukamilisha malengo yetu katika changamoto zinazotukabili katika masuala ya afya, elimu, wataalamu wakuandika miradi na taaluma yoyote ambayo unadhani kuja kwako kwetu inaweza... Soma ibindi
6 Nyakanga, 2013
UMOJA WA WAZEE NA MAENDELEO TANZANIA hari ibyo yahinduye kuri Amateka paje.
Umoja wa wazee na maendeleo Tanzania ni muunganiko wa wazee wote wenye umri kuanzia miaka 50 kuendelea wenye makusudi ya pamoja yakusaidiana na kukabiliana na changamoto mpya kabla na baada ya kustaafu.Umoja huu ulianza baada ya kugundua kuwa hakuna taasisi inayotetea maslahi ya wazee hivyo kuwa wapweke na mara kadhaa haki zao nyingi... Soma ibindi
6 Nyakanga, 2013
Ibyiciro
Aho uherereye
Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye