Envaya

UMOJA WA WAZEE MASWA

mtaa wa biafra maswa mjini, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

kuwaunganisha wazee wote wilayani maswa

kutetea makundi yaliyoko pembezoni

kutoa elimu ya uraia kwa wazee,vijana na makundi maalumu

kuwatafutia mahitaji wazee wasio kuwa na wakuwategemeza.

Latest Updates
UMOJA WA WAZEE MASWA joined Envaya.
July 1, 2011
Sectors
Location
mtaa wa biafra maswa mjini, Shinyanga, Tanzania
See nearby organizations