Fungua
uwakusi society

uwakusi society

Daresalaam, Tanzania

UWAKUSHI NA TEYODEN WAINGIA MAKUBALIANO YA KUSAIDIANA

Katika kile kinachoitwa kutandaa asasi mbili zimeingia makubaliano ya pamoja ili kuweza kubadilishana uzoefu wa kazi na stadi mbalimbali.

Asasi ya UWAKUSI na Mtandao wa vijana Manispaa ya Temeke unaojulikana kama TEYODEN umekubaliana kubadilishan uzoefu katika nyanja mbalimbali za kazi ya kushughulikia masuala ya upunguzaji umasikini kwa vijana na jamii katika Manispaa ya Temeke.

Katika makubaliano haya asasi zote mbili zinategemea kunufaika kwa kubadilishana watendaji,kubdilishana kazi,kuarikakana katika shughuli za asasi husika,kuandaa na kutekeleza miradi kwa ushirikiano.

24 Oktoba, 2012

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.