Injira
upendo wajane mausi

upendo wajane mausi

mataa wa mausi kata ya majengo, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
kikundi cha upendo mausi kutoka Dodoma kata ya majengo mtaa wa mausi,sasa hivi inajishughulisha na utengenezaji wa mabatiki baada ya kupata short course kutoka kwa TASAF,hvyo kikundi cha upendo maus kinapatwa na changamoto za ghalama za usafir wa mabatiki kutoka dar es salaam,rangi za mabatiki na majola yake pamoja na vifaa vya kutengenezea.
12 Mata, 2011

Ibitekerezo (1)

kikundi cha upendo mausi,kina omba msaada wa kuweza kujiendeleza na shughuli ya kutengeneza mabatiki na kuweza kuyauza ndani na nje ya nchi na mwisho kuweza kujiajiri kupitia shughul ya kutengeneza mabatiki.
12 Mata, 2011

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.