Log in
UNION OF NON GOVERNMENTAL ORGANIZATIONS KILOSA

UNION OF NON GOVERNMENTAL ORGANIZATIONS KILOSA

Kilosa, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

FCS Narrative Report

Introduction

UNION OF NON GOVERNMENTAL ORGANIZATIONS KILOSA
UNGOKI
KUELIMISHA JAMII KUPAMBANA NA RUSHWA KUELEKEA UCHAGUZI 2010
FCS/RSG/03/09/239
Dates: JANUARY - MARCH 2011Quarter(s): 1
FUIME SIMON ANTONY
S.L.P. 41, KILOSA

Project Description

Governance and Accountability
Mradi huu ulilenga kuelimisha Asasi wanachama kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 kwa bahati mbaya fedha zilichelewa kwa hiyo uelimishaji ulifanyika baada ya uchaguzi kwisha.

LENGO LA MRADI
Kuelimisha jamii kupambana na Rushwa.

LENGO MAHKUSUSI ( SPECIFIC OBJECTIVES )
I. Kutoa mafunzo kwa viongozi wa wanachama 30 wa UNGOKI juu ya kupambana na Rushwa.
II. Wanachama viongozi 30 baada ya kupata mafunzo kwenda asasi zao kuelimisha
wanachama wao.
III. Wanachama wote kwa ujumla wao kutoa elimu kwa jamii katika nafasi mbalimbali juu ya
kupambana na Rushwa.
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
MorogoroKilosaKasiki, Kimamba A Msowero, Dumila, Magomeni, Mbumi, Chanzuru MkwataniKitongoji cha Kasiki, Mbumi, Manzese, Behewa, Magomeni, Kimamba, Msowero, Dumila na mlimani Boma.30
Kigamboni
Kimamba
Uhindini
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female12100
Male18200
Total30300

Project Outputs and Activities

Viongozi 30 toka asasi wanachama wa UNGOKI wameongeza uelewa juu ya Rushwa na Madhara yake.
. Kuendesha mafunzo ya TOT kwa wanachama 30 wa UNGOKI kwa siku 3 juu ya mapambano
dhidi ya Rushwa.
. Ufuatiliaji na tathimini ya Mradi
UTANGULIZI:-
Mradi huu ulilenga kuelimisha asasi wanachama kabla ya uchaguzi mkuu wa 2010 kwa bahati mbaya fedha zilichelewa kwa hiyo uelimishaji ulifanyika baada ya uchaguzi kwisha.

LENGO LA MRADI:-
Kuelimisha jamii kupambana na rushwa

LENGO MAHKUSUSI ( SPECIFIC OBJECTIVES )

I. Kutoa mafunzo kwa viongozi wa wanachama 30 wa UNGOKI juu ya kupambana na Rushwa.
II. Wanachama viongozi 30 baada ya kupata mafunzo kwenda kwenye asasi zao kuelimisha
wanachama wao.
III. Wanachama wote kwa ujumla wao kutoa elimu kwa jamii katika nafasi mbalimbali juu ya
kupambana na Rushwa.

UTEKELEZAJI WA MRADI:-
Mafunzo juu ya Rushwa na madhara yake yaliyotolewa kwa wanachama 30 wa UNGOKI kwa siku 3 tarehe 31. 12.2010 hadi tarehe 02 .01. 2011 Mjini kilosa.

Mafunzo haya yalitolewa na mwanasheria Ndg Angelus Runji kutoka UNGO MOROGORO.

NAMNA MAFUNZO YALIVYOTOLEWA:-
Washiriki wote walishiriki katika kuchangia mada za Rushwa na madhara yake.

Mwenzeshaji alitoa karatasi kwa kila mshiriki na kumtaka aeleze juu ya aina ya Rushwa anayoelewa na madhara yake.

Baada ya karatasi zilikusanywa na kusomwa. Maelezo yaliyofanana yaliwekwa pamoja.

Leongo la zoezi hili ni kupima ufahamu wa mada kabla ya kuanza mafunzo.

MADA ZILIZOTOLEWA:-
. Dhana ya Rushwa
. Sababu za Rushwa.
. Athari za Rushwa katika jamii.
. Jitihada za Serikali kupambana na Rushwa.
. Sheria ya kuzuia na kupambana na Rushwa.
. Mkakati wa kitaifa wa kupambana na Rushwa
. Namna ya kukabiliana na Rushwa
. Umuhimu wa kupambana na Rushwa.

MAKUBALIANO YA MAFUNZO:-
. Kila kiongozi wa asasi atatoa Mrejesho wa mafunzo aliyopata kwa asasi yake.
. Kila asasi iweke mpango wa namna ya kuelimisha jamii.

UFUATILIAJI NA TATHIMINI YA SHUGHULI YA MRADI:-

Lengo la ufuatilaji:-
. Kuona kama yale tuliyokubaliana yamefanyika katika ngazi ya asasi.
. Kuona kama wananchi wamepata elimu toka asasi zilizopata mafunzo

UFUATILAJI:-
1. HUDESA
2. KAYO
3. MWADETA
4. KIWACHE
5. FLOJIMA
6. WAMAJUKUU
7. KYDA
8. KISE
9. DUDEGRO
10. MYODO

MATOKEO YA UFUATILIAJI:-
Asasi zilifanyiwa ufuatiliaji zilitwekeleza maagizo yote waliyopewa. Kwa mfano:-
Mchungaji wa Anglikana amekuwa anatoa katika mahubili yake kila jumapili katika Kanisa lake elimu juu ya madhara ya Rushwa.

HUDESA walielimisha wanachama wao. Lakini pia wamekuwa wanazungumza maswala ya Rushwa kwa kila mradi wanaotekeleza mfano:- Mradi wa haki ya Kumiliki Ardhi kwa wafugaji na wakulima huko Tarafa ya Gairo mafunzo juu ya Rushwa yalitolewa.



___________
. Utoaji mafunzo - 3,633,000/=
. Utawala - 1,107,000/=
. Ufuatiliaji - 200,000/=

JUMLA - 4,940,000/=

Project Outcomes and Impact

Viongozi 30 toka Asasi wanachama wa Ungoki wameongezewa uelewa juu ya Rushwa na Madhara yake. -
Viongozi 30 wamepata mafunzo juu ya madhara ya Rushwa na wamefanya mikutano kuelimisha asasi zao. Asasi zao kwa njia mbalimbali wanatoa elimu kwa jamii. Jamii sasa wanajitahidi kulinda haki zao zisijitahidi kulinda haki zao zisihujumiwe kwa Rushwa.
Maswala ya Rushwa yanazungumzwa sana katika mikutano ya viongozi wa Serikali. -
Wananchi wengi sasa wamehamasika kudai katiba mpya.
Wananchi wengi wanaamini kwamba serikali iliyopo imeingia madarakani kwa Rushwa na kwa hiyo ina walinda wala rushwa wakubwa wenzao. -
-

Lessons Learned

Explanation
wananchi wengi bado waoga wa kutoa taarifa kwa TAKUKURU kwa sababu wanahisi nao pia wanashirikiana na watoa Rushwa.
Wakati wa ufuatiliaji wananchi wengi wanasema vita dhidi ya Rushwa ni ngumu kwa sababu wakubwa wanawalinda wala Rushwa wakubwa. Pia kwamba huwezi kupata uongozi wa siasa bila kutoa Rushwa.
-
-
-
-

Challenges

ChallengeHow it was overcome
Mradi huu ulilenga kuelimisha jamii kabla ya uchaguziViongozi wote wa asasi waliitwa kwenye mdahalo wa uchaguzi ulioandaliwa na UNGO kwa msaada wa FCS .
Fedha zilichelewaHapo walipewa maelekezo kwa ufupi ambayo waliyatoa kwa watu kwa mbinu mbali mbali
Mafunzo yamefanyika baada ya uchaguzi mwezi January - 2011

Linkages

StakeholderHow you worked with them


TAKUKURU Wilaya walialikwa.
Viongozi wote walikiri kwamba Rushwa ni kubwa na wametoa , ahadi ya kushiriki katika mapambano.


Afisa maendeleo Wilaya


Viongozi wote wa Dini waliopo Wilayani walialikwa.

Future Plans

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
-

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
YouthFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OtherFemale12100
Male18200
Total30300
walionufaika wanaume ni 18 na wanawake ni 12 na wengineo wanaume ni 200 na wanawake ni 100

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo usimamizi wa Ruzuku2010Uandishi wa Mradi

Usimamizi wa Fedha
Maarifa yametumika katika kutekeleza mradi huu.

Attachments

(No Response)

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.