Maeneo ya ukurasa huu yametafsiriwa toka (unknown language) kwa Kiswahili. Ona asili · Hariri tafsiri
huu ni Mradi wa Utawala bora kwenye sekta ya misitu uliokuwa ukitekelezwa na TUSHIRIKI ukifadhiliwa na WWF Mch jairo mwasongole ni miongini mwa Watunishi wa Tushiriki, Neema Mwigune pamoja na wadau wa misitu wakijadiliana kuhusiana na utawala bora kwenye misitu wilaya ya Rungwe
Tushiriki ya yatoa elimu ya utawala bora kwenye sekta ya misitu wilaya ya rungwe Mkoani Mbeya