Kutoa huduma kwa Viziwi na kutetea maslahi yao.
Mabadiliko Mapya

Tanzania Society for the Deaf imeongeza Habari 18.
Robert Nigel at TSD offices had supported to a number of activities at TSD
14 Desemba, 2011
Tanzania Society for the Deaf imeongeza Habari.
Shule yetu ya Buguruni Viziwi imefungwa kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka na itafunguliwa January 2012
13 Desemba, 2011
Tanzania Society for the Deaf imeumba ukurasa wa Timu.
TSD ina wajumbe wa Bodi 11 na imefanya uchaguzi wa viongozi wapya Novemba 12,2011
13 Desemba, 2011
Tanzania Society for the Deaf imeumba ukurasa wa Historia.
Tanzania Society for the Deaf ilianzishwa na kusajiriwa 1971 na muasisi wake ni Sir Andy Chande.Mlezi wa kwanza wa chama hiki alikua hayati Mwalimu Julius Nyerere,raisi wa kwanza wa Tanzania.Chama kimejenga shule ya Viziwi Buguruni kwa kushirikiana na wadau wa ndani na nje ya nchi chini ya muongozo wa Sir Andy Chande. ... Soma zaidi
13 Desemba, 2011
Tanzania Society for the Deaf imeumba ukurasa wa Miradi.
TSD inamiliki na kuendesha Shule ya Msingi Buguruni Viziwi kuanzia February 1974 ambayo ni boarding na day na kwa sasa ina wanafunzi 260 chekechea hadi ufundi – Shule ina darasa la chekechea,elimu ya msingi darasa la 1-7 pia ina chuo cha ufundi stadi kilicho sajiriwa na (VETA). – TSD inamiliki ekari 53 eneo la... Soma zaidi
13 Desemba, 2011
Tanzania Society for the Deaf imejiunga na Envaya.
13 Desemba, 2011
Sekta
Sehemu
Dar es Salaam, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu