Log in
Tanzania Society for the Deaf

Tanzania Society for the Deaf

Dar es Salaam, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kutoa huduma kwa Viziwi na kutetea maslahi yao.

Latest Updates
Tanzania Society for the Deaf added 18 News updates.
Robert Nigel at TSD offices had supported to a number of activities at TSD
December 14, 2011
Tanzania Society for the Deaf added a News update.
Shule yetu ya Buguruni Viziwi imefungwa kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka na itafunguliwa January 2012
December 13, 2011
Tanzania Society for the Deaf created a Team page.
TSD ina wajumbe wa Bodi 11 na imefanya uchaguzi wa viongozi wapya Novemba 12,2011
December 13, 2011
Tanzania Society for the Deaf created a History page.
Tanzania Society for the Deaf ilianzishwa na kusajiriwa 1971 na muasisi wake ni Sir Andy Chande.Mlezi wa kwanza wa chama hiki alikua hayati Mwalimu Julius Nyerere,raisi wa kwanza wa Tanzania.Chama kimejenga shule ya Viziwi Buguruni kwa kushirikiana na wadau wa ndani na nje ya nchi chini ya muongozo wa Sir Andy Chande. ... Read more
December 13, 2011
Tanzania Society for the Deaf created a Projects page.
TSD inamiliki na kuendesha Shule ya Msingi Buguruni Viziwi kuanzia February 1974 ambayo ni boarding na day na kwa sasa ina wanafunzi 260 chekechea hadi ufundi – Shule ina darasa la chekechea,elimu ya msingi darasa la 1-7 pia ina chuo cha ufundi stadi kilicho sajiriwa na (VETA). – TSD inamiliki ekari 53 eneo la... Read more
December 13, 2011
Tanzania Society for the Deaf joined Envaya.
December 13, 2011
Sectors
Location
Dar es Salaam, Tanzania
See nearby organizations