Log in

Translations: Kiswahili (sw): Translators: Envaya Team (envayateam)

Name Envaya Team (envayateam)
Last update May 16, 2012
Translations 41
Votes 41

Latest translations

Internal IDBaseKiswahiliTranslatorTime Created
(hidden)
widget:volunteer:helpWrite about any requirements for your organization's volunteers. Describe the type of position available, skills required, location, days to work, person to contact, etc.Andika kuhusu hizo nafasi za kujitolea. Fafanua aina ya nafasi iliyopo, sifa na ujuzi inayotakiwa, mahali ya kufanyia kazi, siku gani za kujitolea, mtu wa kuwasiliana naye n.k.envayateamMay 3, 2012
widget:volunteer:labelYour organization's volunteer opportunitiesNafasi za kujitolea za asasi yako.envayateamMay 3, 2012
lang:unknown(unknown language)(lugha nyingine)envayateamMay 2, 2012
edit_designEdit DesignHariri MwonekanoenvayateamMay 2, 2012
view_siteView SiteAngalia UkurasaenvayateamMay 2, 2012
submitSubmitToaenvayateamMay 2, 2012
volunteer:disclaimerNote: All volunteer opportunities are submitted and coordinated by the organizations listed below, not by Envaya itself. Envaya does not verify the accuracy of these volunteer opportunities.Kumbuka: Nafasi zote za kujitolea zinawekwa na kuratibiwa na asasi zilizoorodheshwa hapo chini, na siyo Envaya. Envaya haihusiki na chochote kuhusiana na nafasi hizi za kujitolea zitakazo tangazwa na asasi. envayateamMay 2, 2012
volunteer:addAdd your organization's volunteer opportunities!Ongeza nafasi za kujitolea zilizopo katika asasi yako!envayateamMay 2, 2012
volunteer:updateUpdate your organization's volunteer opportunities!Weka nafasi za kujitolea zilizopo katika asasi yako!envayateamMay 2, 2012
volunteer:list_belowBelow is a list of the organizations on Envaya requesting volunteers.Chini ni orodha ya asasi zinazohitaji watu wa kujitolea. envayateamMay 2, 2012
volunteer:desc_remoteEnvaya now makes it easier for you to interact with community initiatives in East Africa.Envaya imekurahisishia kushirikiana na asasi zilizopo katika ukanda wa Afrika ya Mashariki.envayateamMay 2, 2012
volunteer:desc_localEnvaya now makes it easier for you to interact with community initiatives in your area.Envaya imekurahisishia kushirikiana na asasi za kiraia zilizopo katika eneo lako.envayateamMay 2, 2012
volunteer:emptyNo volunteer opportunities found.Nafasi za kujitolea hazipatikani kwa sasa.envayateamMay 2, 2012
volunteer:titleGet involved!Jitolee!envayateamMay 2, 2012