Internal ID | Base | Kiswahili | Translator | Time Created |
---|
network:confirm_partner | Confirm the organization to add as a partner: | Thibitisha shirika la kuongeza kama ubia | radhina | June 9, 2011 |
network:confirm_delete | Are you sure you want to remove {name} from your list of {type}? | Una uhakika kuwa unataka kuondoa {name} kutoka kwenye orodha yako ya {type} ? | radhina | June 9, 2011 |
network:invite_sign_up | If your organization hasn't yet registered for Envaya, sign up and create your website now! | Ikiwa shirika lako halijaandikishwa kwenye Envaya, jiunge ili uumbe tovuti yako sasa | radhina | June 9, 2011 |
share:disclaimer_2 | If you do not wish to receive emails like this, please contact {name}. | kama hutaki kupokea email kama hizi, tafadhali wasiliana na {name} | radhina | June 7, 2011 |
share:disclaimer | You are receiving this email because {name} sent it to you using Envaya. | umepata email hii kwasababu {name} kakutumia kwa kutumia Envaya | radhina | June 7, 2011 |
share:rate_limit_exceeded | You have already sent the maximum number of emails today. | umesha tuma email za kutosha kwa leo. | radhina | June 7, 2011 |
share:too_many_emails | Too many email addresses entered. Please enter at most {max} email addresses. | Anwani za email zimezidi. Tafadhali ingiza anwani {max} za email, au chini ya idadi hiyo | radhina | June 7, 2011 |
share:duplicate | This page has already been shared with the following email addresses: | Ukurasa huu umeshasambazwa na anwani za email zifuatazo | radhina | June 7, 2011 |
share:link | Link to share: | Kiungo cha kusambaza | radhina | June 7, 2011 |
share:browse_instructions | Click the organizations to share this page with: | Bonyeza mashirika ambayo unataka kuyatumia ukurasa huu | radhina | June 7, 2011 |
discussions:about | This page allows anyone – from your organization or other organizations, from your community or anywhere in the world – to collaborate and discuss topics related to your organization and its work. | Ukurasa huu unaruhusu watu wowote – kutoka kwenye shirika lako au mashirika mengine, kutoka jumuiya yako au duniani kote – kushirikana na kujadiliana kuhusu mada zinazohusu shirika lako na shughuli yako | radhina | June 7, 2011 |
discussions:back_to_topics | Back to all topics | Rudi kwenye mada zote | radhina | June 7, 2011 |
discussions:content_missing | Please enter a message to add to this discussion. | Tafadhali ingiza ujumbe wa kuongeza katika mada hii. | radhina | June 7, 2011 |
discussions:subject_missing | Please enter a topic for this discussion. | Tafadhali ingiza mada kwenye mjadala huu | radhina | June 7, 2011 |
discussions:confirm_remove_topic | Are you sure you want to delete this topic? | Una uhakika kuwa unataka kufuta mada hii | radhina | June 7, 2011 |