Envaya

Translations: Kiswahili (sw): Latest translations

Internal IDBaseKiswahiliTranslatorTime Created
comment:anonymousAnonymousAfahamikijeanmediaAugust 16, 2011
(hidden)
WI000858C6283AD000008081:titleKutoka MitaaniKutoka MitaaniM-E-D-1-1August 14, 2011
(hidden)
WI0002C56A3DDED000028456:contentWe encourage you to share your organization's website with many other people – community members, partner organizations, and your own staff! Your organization's website will be more useful as more people know about it, and use it to interact with your organization. So tell people about your website! We also suggest adding your organization's website address to your organization's signs and letterhead. – (image) – Envaya makes it easy to share any...Tunakusisitiza kusambaza tovuti ya asasi yako na watu wengine wengi - wanajamii, mashirika ya ubia, na wanachama wako wenyewe! Tovuti ya asasi yako itakuwa muhimu zaidi kama watu zaidi waijue, na waitumie ili kushirikiana na asasi yako. Kwa hivyo, waambie watu kuhusu tovuti yako! Vile vile, tunapendekeza uongeze anwani ya tovuti ya asasi yako kwa alama na barua za asasi yako. – (image) – Kupitia Envaya, ni rahisi kusambaza ukurasa wowote wa tovuti...youngjJuly 26, 2011
WI00021B9182B85000006846:titleGet InvolvedShirikiana nasiyoungjJuly 26, 2011
WI0009482CA10CD000028213:titleLogging In To EnvayaKufungua Akaunti yako ya EnvayayoungjJuly 26, 2011
WI0007BAFEB2ED3000028031:contentEnvaya is a free, easy-to-use service that allows civil society organizations to create their own websites, publish their latest news, photos, and documents, interact with grantmakers, and collaborate with other organizations and people around the world. – Over 700 civil society organizations (CSOs) are already using Envaya, from small community based organizations to large NGOs. CSOs on Envaya work on a wide range of activities including advocating for positive change,...Envaya inatoa huduma kwa mashirika ya jumuiya ya kiraia kupata tovuti bila malipo yoyote, kuchapisha habari, picha, na hati mpya, kuwasiliana na wafadhili, na kushirikiana na mashirika mengine na watu duniani kote. – Sasa, zaidi ya mashirika 600 ya kiraia yanatumia Envaya, kutoka asasi ndogo kwa NGOs kubwa. Mashirika juu ya Envaya yanafanya kazi ya aina mbalimbali, kama kutetea mabadiliko, kuendeleza mipango mipya ya kupunguza umaskini, na kuendesha miradi kuhusu elimu ya...youngjJuly 25, 2011
WI000B03297B933000028271:titleChanging Your Account SettingsKubadili Mipangilio ya Akaunti yakoyoungjJuly 25, 2011
WI0002C56A3DDED000028456:contentWe encourage you to share your organization's website with many other people – community members, partner organizations, and your own staff! Your organization's website will be more useful as more people know about it, and use it to interact with your organization. So tell people about your website! We also suggest adding your organization's website address to your organization's signs and letterhead. – (image) – Envaya makes it easy to share any...Tunakuhamasisha kusambaza tovuti ya asasi yako na watu wengine wengi - wanajamii, mashirika ya ubia, na wanachama wako wenyewe! Tovuti ya asasi yako itakuwa muhimu zaidi kama watu zaidi waijue, na waitumie ili kushirikiana na asasi yako. Kwa hivyo, waambie watu kuhusu tovuti yako! Vile vile, tunapendekeza uongeze anwani ya tovuti ya asasi yako kwa alama na barua za asasi yako. – (image) – Kupitia Envaya, ni rahisi kusambaza ukurasa wowote wa...youngjJuly 25, 2011
WI000B2B1F0932A000028520:contentWhen you are reading a news update published by another organization on Envaya, you can publish a comment on their page, and start a conversation with them. – At the bottom of the news update, scroll to Add a Comment. – (image) – Just type your comment and enter your name and location below, then click the Publish comment button. Afterwards, Envaya may require you to enter a verification code...Wakati unaposoma taarifa ya habari iliyochapishwa na shirika jingine kwenye Envaya, unaweza kuchapisha maoni yako kwenye ukurasa wao, na kuanza mazungumzo nao. – Chini ya taarifa ya habari, tembeza kwa Ongeza maoni au Add a comment. – (image) – Ingiza maoni yako, jina lako, na sehemu yako, kisha bonyeza kitufe cha Chapisha maoni. Baada ya hapo, labda Envaya itakuhitaji kuingia maneno...youngjJuly 25, 2011
WI0003D065C7022000028276:contentTo see the most recent discussions from all organizations on Envaya, click Discussions at the top of any page on Envaya, as shown below: – (image) – This page shows the topic of each recent discussion and part of the most recent message in that discussion. To see discussions started by certain kinds of organizations, (for example, organizations involved in Human rights), click All sectors, then choose a sector...Ili kuona majadiliano mapya kutaka mashirika yote kwenye Envaya, bonyeza Majadiliano au Discussions juu ya ukurasa wowote kwenye Envaya, kama hapo chini: – (image) – Ukurasa huu unaonyesha kila mada ya jadiliano na sehemu ya ujumbe wa mwisho wa jadiliano. Ili kuona jadiliano lililoanzishwa na aina fulani ya mashirika (kwa mfano, mashirika yanayofanya kazi ya haki za Binadamu), bonyeza Sekta zote,...youngjJuly 25, 2011
WI000D6F8C9DE08000028268:contentOn the Edit Site page ( (image) ) is the Edit Pages section, which lists all of the pages on your organization's website. Here you can edit an existing page, change the order of pages, or add a new page to your website. – (image) – The existing...Katika ukurasa wa Hariri Tovuti ( (image) ) ipo sehemu ya Hariri Kurasa, ambayo inaorodhesha kurasa zote za tovuti ya shirika lako. Hapa unaweza kuhariri ukurasa uliopo, kubadili utaratibu ya kurasa, au kuongeza ukurasa mpya kwenye tovuti yako. – (image) ...youngjJuly 25, 2011