Fungua

Tafsiri: Kiswahili (sw): Tafsiri mpya

Internal IDAsiliKiswahiliMfasiriMuda ya Uumbaji
network:confirm_partnerConfirm the organization to add as a partner:Thibitisha shirika la kuongeza kama ubiaradhina9 Juni, 2011
network:confirm_deleteAre you sure you want to remove {name} from your list of {type}?Una uhakika kuwa unataka kuondoa {name} kutoka kwenye orodha yako ya {type} ?radhina9 Juni, 2011
network:invite_sign_upIf your organization hasn't yet registered for Envaya, sign up and create your website now!Ikiwa shirika lako halijaandikishwa kwenye Envaya, jiunge ili uumbe tovuti yako sasaradhina9 Juni, 2011
share:disclaimer_2If you do not wish to receive emails like this, please contact {name}.kama hutaki kupokea email kama hizi, tafadhali wasiliana na {name}radhina7 Juni, 2011
share:disclaimerYou are receiving this email because {name} sent it to you using Envaya.umepata email hii kwasababu {name} kakutumia kwa kutumia Envayaradhina7 Juni, 2011
share:rate_limit_exceededYou have already sent the maximum number of emails today.umesha tuma email za kutosha kwa leo.radhina7 Juni, 2011
share:too_many_emailsToo many email addresses entered. Please enter at most {max} email addresses.Anwani za email zimezidi. Tafadhali ingiza anwani {max} za email, au chini ya idadi hiyoradhina7 Juni, 2011
share:duplicateThis page has already been shared with the following email addresses:Ukurasa huu umeshasambazwa na anwani za email zifuatazoradhina7 Juni, 2011
share:linkLink to share:Kiungo cha kusambazaradhina7 Juni, 2011
share:browse_instructionsClick the organizations to share this page with:Bonyeza mashirika ambayo unataka kuyatumia ukurasa huuradhina7 Juni, 2011
discussions:aboutThis page allows anyone – from your organization or other organizations, from your community or anywhere in the world – to collaborate and discuss topics related to your organization and its work.Ukurasa huu unaruhusu watu wowote – kutoka kwenye shirika lako au mashirika mengine, kutoka jumuiya yako au duniani kote – kushirikana na kujadiliana kuhusu mada zinazohusu shirika lako na shughuli yakoradhina7 Juni, 2011
discussions:back_to_topicsBack to all topicsRudi kwenye mada zoteradhina7 Juni, 2011
discussions:content_missingPlease enter a message to add to this discussion.Tafadhali ingiza ujumbe wa kuongeza katika mada hii.radhina7 Juni, 2011
discussions:subject_missingPlease enter a topic for this discussion.Tafadhali ingiza mada kwenye mjadala huuradhina7 Juni, 2011
discussions:confirm_remove_topicAre you sure you want to delete this topic?Una uhakika kuwa unataka kufuta mada hiiradhina7 Juni, 2011