Asili (Kiingereza) | Kiswahili |
---|---|
help:news:feed |
Habari ni njia bora kuyaambia mashirika mengine vitu unavyovifanya. Katika ukurasa wa %s, unaweza kusoma habari kutoka mashirika mengine upendeleayo. Kama shirika linalopo mbali sana likiwa na mradi mzuri na likiandika kuhusu mradi katika Envaya, unaweza kuisoma na kupata mawazo kwa shirika lako! |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe
Historia ya tafsiri
|