Base (Kinyarwanda) | Kiswahili |
---|---|
fcs:narrative:report_period:help |
Eleza tarehe na kipindi cha robo mwaka ambacho taarifa hii inatolea maelezo.
Mfano kama mradi wako ulianza Agosti 12, 2010 <b>kipindi cha 1</b> cha utekelezaji kinachoripotiwa ni kutoka Agosti 12 hadi Novemba 11, 2010.
<b>Kipindi cha 2</b> cha utekelezaji kinachofuata ni kuanzia Novemba 12 hadi 11 Februari, 2011.
Kama mradi wako ulianza Agosti 12, 2010 na ni wa miaka miwili taarifa ya <b>mwisho wa mwaka</b> inahusisha
<b>vipindi vya 1 hadi 4</b> vya utekelezaji kutoka Agosti 12, 2010 hadi Agosti 11, 2011 |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe
Ibyasobanuwe
|