Base (Swahili) | Kiswahili |
---|---|
Baraza jipya la mawazir tz litakuaje?ingawa itabiriwa kua laweza kuundwa na vijana kwa asilimia 70 lakn ofu yangu mimi kama mtanzania ni pale baraza hilo jipya litakapo shindwa kuwajibika jaman serikal ya chama cha mapinduzi(CCM)ndiyo itakua imefikia ukingoni kwani ni dhairi kabisa kua wananch wa tz wameshachoshwa na ufisadi kama sio wizi unaofanywa na vigogo au kwa lugha ya kificho kidogo wenye magamba jamani tumuombe Raisi kikwete aweze kusuka mawaziri wenye moyo na sio wenye meno |
(Not translated) |