Base (Swahili) | Kiswahili |
---|---|
Hali inazidi kuwa mbaya kila kunapokucha kwa vijana wengi hususani walioko vyuoni kwa kunyimwa fedha za kujikimu wakati wa masomo kazini (Field) kwa kisingizio tu eti wanatoa msukumo wa kudai haki yao na hivyo kuonekana kuwa ni wanachama wa chama pinzani (CHADEMA) na kusababisha kwenda kinyume na matakwa ya chama cha Mapinduzi (CCM). Serikali inayoongozwa na CCM hebu fikirieni mlipotoka, mlipo sasa na mnapokwenda kwani bomu mwaliandaa wenyewe............ |
(Not translated) |