Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Naamin kama wewe ni mjasiriamali utapenda kujua mambo mengi sana kwa kutumia mtandao unaweza kujitangaza,kujielimisha hata kwa kuwa na website yako unaweza kufanya mengi.Ndio maana ICT4TDLearning Centre imekuwa mkombozi wa maisha yako.Karibu sana tupo pale external mabibo EPZA mbele kidogo opposite na Kanisa la Lutheran karibuni wote |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe