Base (Swahili) | Kiswahili |
---|---|
Katiba ya sasa ishirikishe vyama vingi vya siasa, itakuwa rahisi kupata ushiriki wa watanzania. Kama Rais atabaki na kauli ya mwisho bado tu kutakuwa na mianya itakayokuwa uchochoro wa kupitisha maamuzi yasiyo sahihi ama kulingana na maslahi binafsi. Hivyo nashauri taasisi za kiutendaji zote ziwekwe chini ya bunge na uteuzi wao ufanyike bungeni, Rais awe ndiye mwenye kutoa ushauri au mapendekezo. |
(Not translated) |