Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Japo sheria ipo,unadhani watoto wanapata sehemu mbadala ya kupata burudani?!!! Hali ikoje katika jamii yako hasa nyakati za sikukuu?! Wazazi na walezi wana utayari na uwezo wa kugharamia burudani kwa watoto wao tofauti na disco?!!! Unadhani disco lina madhara gani kwa mtoto?!!!
The Law of the Child Act, No. 21, 2009 17.-(1) A person, being an owner or occupier who runs or is in-charge of a discotheque, bar or night club, shall not allow a child to enter into the premises. (2) A person shall not sell cigarettes, alcohol, any spirit, drugs or any intoxicating substance to a child. (3) A person who contravenes the provisions of this section, commits an offence and shall on conviction be liable to a fine not less than one million shillings but not exceeding five million shillings or to imprisonment for a term not exceeding twelve months or to both. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe