Base (Igiswayire) | Kiswahili |
---|---|
Asante sana Haji Mwadini kutoka Zanzibar kwa majibu yako mazuri lakini utakubaliana na mimi kuwa kila mtu ana haki ya kufanya biashara yeyote lakini bila kuvunja sheria ya Nchi. kununua na kuuza Ardhi ni haki ya kila raia bila kujali kiongozi au mtu binafsi na kuhusu kujengwa Hoteli za kitalii sio tatizo sababu ni moja ya maendeleo swala la kutumia simu za gharama kwa wanafunzi wa shule hilo lipo wazi kuwa hapaswi kutumia simu wakati wa akiwa shuleni lakini hukumbuke kuwa sasa shule nyingi wanafundisha Computer . mimi na fikiria kuwa viongozi katika utandawazi sio tatizo, tatizo jinsi tulivyo upokea uho utandawazi,hili ni jukumu la kila mmoja wetu katika jamii kuakisha vijana wanapewa taalifa sahihi kuhusu utandawazi na ukitaka kuwaficha unaweza usikie lengo asante fikiri mvugaro mwela theatre |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe