Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Tumefungua sasa centre hii kwa ajili ya watu wote kujifunza Lugha ya KIiingereza,kifaransa,Computer course mbalimbali pia kuna masomo ya ujasiriamali kwa sasa tunafundisha ufugaji bora wa kuku wa kienyeji kwa wale wanatamani kuwa wajAsiamali ili wapate faida kwa muda mfupi. Tip: KUKU MMOJA AKIFUGWA VIZURI ANAWEZA KUTOTOA MAYAI 180 KWA MWAKA.yale mayai yakiwekwa kwenye machine(incubators)yanaweza kutotolewa vizuri kama yana mbegu ya dume.hiyo ni rate ya chini sana.kwani kuku anaweza kutotoa mayai hadi 25 inategemea na ukoo wake.Sasa kama wakishatolewa kwenye machine wakakua wakawa kuku hata kama utauza kwash.10,000.00 bado unaweza kupata tsh.1,800,000.00 ukitoa matumizi bado hela ipo kibao.Na huwezi kufuga kuku mmoja. tunazo CD za masomo hayo pia tutakufundisha kwa undani sana kwa nini watu wengi wanaona kufuga kuku wa kienyeji hakuna faida magonjwa,chanjo,Mabanda bora ,chakula bora,mbegu bora handleling ya mayai na vifaranga.Uweze kufuga kwa faida na kula chakula bora na kipato na watanzania hawawezi kuwa maskini kama watazingatia haya. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe