Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Wanafunzi wa shule ya msingi Nghaheleze iliyoko Wilayani Chamwino wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kupokea msaada wa Vitabu vya kiada. Vitabu hivyo vilikabidhiwa kwao na shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe