Base (English) | Kiswahili |
---|---|
Effortless mobile messaging for your NGO - special Envaya discountDear Envaya Users and Supporters, I’m excited to tell you about Telerivet, a mobile messaging platform created by the same team that created Envaya. Telerivet makes SMS messaging effortless so your organization can quickly and easily communicate with your community—including those without a smartphone or internet access. All your organization needs is an Android phone. The people you communicate with won't need a smartphone and can use even the most basic phone. Many Tanzanian NGOs are already using Telerivet to improve their reach and efficiency, and your organization can too. For example, your organization could use Telerivet to:
In addition to working on Envaya, I'm also the East Africa operations director for Telerivet. As thanks for being an Envaya user, we're offering a 20% discount for Envaya users -- as long as you sign up for Telerivet before June 1. To redeem your 20% discount for free, just sign up at https://telerivet.com/pg/redeem_coupon?code=ENVAYA2014 Let me know if you'd like a demo of Telerivet. If you’re in Dar es Salaam we could schedule a time to meet at our office. For more information about Telerivet, visit www.telerivet.com. Thank you, Radhina |
Huduma za SMS kwa ajili ya Shirika Lako - Ofa kwenye EnvayaHabari wadau na washiriki wa Envaya, Ninafuraha kubwa ya kuwaeleza kuhusu Telerivet, huduma ya ujumbe mfupi iliyoundwa na timu ile ile iliyounda Envaya. Telerivet inasaidia kufanya utumaji wa Ujumbe Mfupi kuwa rahisi sana kwa ajili ya shirika lako kuwasiliana haraka na jamii yake -- hata wale wasiokuwa na simu za kisasa zenye intaneti. Kinachohitajika ni shirika lako tu liwe na simu yenye Android. Jamii utakayokuwa unawasiliana nayo haitohitaji simu ya kisasa. Mashirika mengi ya kitanzania tayari yameshaanza kujiunga na kutumia Telerivet ili kijiimarisha na kukuza mashika yao. Hata shirika lako pia linaweza kufanya hivi. Kwa mfano shirika lako linaweza kutumia Telerivet kufanya yafuatayo:
Pamoja na kazi Envaya pia mimi ni Mkurugenzi wa operesheni wa Telerivet. Kwa kutoa shukurani kwenu kwa kuwa wadua na washiriki wazuri wa Envaya tunatoa punguzo maalum kwaajili ya watumiaji wa Envaya-- hakikisha unajiunga kabla ya juni 1. ili kupata offer hi ya punguzo la 20% bure, jiunge kwa kutumia kiungo hiki https://telerivet.com/pg/redeem_coupon?code=ENVAYA2014 Tafadhali tope taarifa kama utahitaji maelekezo zaidi ya utumiaji wa Telerivet. Kama upo Dar-es-salaam unakaribishwa ofisini kwetu. Kwa taarifa zaidi tembelea www.telerivet.com Asanteni Radhina |
Translation History
|