Log in

Translations: Kiswahili (sw): User Content: WI000D0E1AEC551000099109:content

« Previous   ·   Next »
Base (English) Kiswahili

Dar es Salaam Flooding Community Survey

Envaya is collecting information and opinions from civil society organizations and community members in Dar es Salaam about the impact of the recent flooding and the needs of your community.

Envaya will share your responses with government, NGOs, and the international community to help mobilize recovery efforts.

Using your Envaya account, you can submit this survey multiple times with responses from different people in your organization and in your community. To read Envaya's tips and recommendations for how to survey community members, click here.
 
Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Envaya inakusanya taarifa na maoni kutoka kwa asasi za kiraia na wanajamii wa Dar-es-salaam kuhusu athari na uharibifu uliotokea kutokana na mafuriko yaliotokea mwezi december mwaka jana na mahitaji ya jamii kutokana na hali hiyo ya mafuriko.

Envaya itagawa taarifa zenu serekalini, kwenye asasi, na jamii ya kimataifa ili kuhamasisha kuhusu ujenzi wa taifa letu baada ya maafa haya.

Kwa kutumia akaunti yako ya Envaya unaweza kujaza taarifa za utafiti huu mara njingi iwezekanavyo ikiwa na taarifa utakazo zijaza kutokana na maelezo ya jamii yako na wahanga wa janga hili. Ili kusoma maoni na mapendekezo ya Envaya kuhusu jinsi ya kufanya utafitibonyeza hapa.
  
In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

youngj
January 29, 2012
Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam – Envaya inakusanya taarifa na maoni kutoka kwa asasi za kiraia na wanajamii wa Dar-es-salaam kuhusu athari na uharibifu uliotokea kutokana na mafuriko yaliotokea mwezi december mwaka jana na mahitaji ya jamii kutokana na hali hiyo ya mafuriko. – Envaya itagawa taarifa zenu serekalini, kwenye asasi, na jamii ya kimataifa ili kuhamasisha kuhusu ujenzi wa taifa letu baada ya maafa haya. ...

This translation refers to an older version of the source text.