Envaya

Tafsiri: Kiswahili (sw): Maandiko ya Watumiaji: CM0008EE2252CB6000009034:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili
Baada ya changamoto zilizotolewa na maradi huu wa ufuatiliaji wa uwajibikaji kijamii sasa halmashauri ya wilaya ya Kigoma imeanza kubandika kwenye mbao za matangazo taarifa za mapato na matumizi ikiwa ni pamoja na bajeti za kila mwaka kwenye kila kata.Hii imeonekana katika kata ya Mwandiga na mtendaji wa kata hiyo amekiri kwamba taarifa hizo zimeletwa siku mbili zilizopita kwani ilionekana wakaguzi kutoka ofisi ya CAG na wale wa maboresho ya serikali za mitaa walikuwa mbioni kuja kukagua namna ambavyo wananchi wanashirikishwa katika kufanya maamuzi.
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe